Didge – Saa Zingine Lyrics

Verse 1
Saa zingine
Maneno hunitoka bila mpango
Saa zingine
Ulimi hauoni ukweli wa moyo
Saa zingine
Naisare ikawa

Bridge
Tukiwa juu sioni chini
Tukiwa chini
Nataka tuwe juu

Chorus
Saa zingine naropokwa
Maneno yanitoka juu ya penzi lako
Saa zingine wanichosha
Nataka uondoke nenda zako
Saa zingine ninazama na uzito la pendo lako
Saa zingine


Verse 2
Saa zingine kukosana ndio mwanzo wa kuelewana
Saa zingine sauti yako tu ndio yanitoa machungu
Sio zaa zote nakupa msamaha

Bridge
Tukiwa juu sioni chini
Tukiwa chini
Nataka tuwe juu

Chorus
Saa zingine naropokwa
Maneno yanitoka juu ya penzi lako
Saa zingine wanichosha
Nataka uondoke nenda zako
Saa zingine ninazama na uzito la pendo lako
Saa zingine
Saa zingine naropokwa
Maneno yanitoka juu ya penzi lako
Saa zingine wanichosha
Nataka uondoke nenda zako
Saa zingine ninazama na uzito la pendo lako
Saa zingine


Verse 3
Umenibeba najaribu
Kuelewa ni kwa nini
Nahisi penzi lako
Umenibeba najaribu
Kuelewa ni kwa nini
Nahisi penzi lako
Ninataka kuelewa ni kwa nini
Nahisi penzi lako
Nahitaji penzi lako

Umenibeba najaribu
Kuelewa ni kwa nini
Nahisi penzi lako
Umenibeba najaribu
Kuelewa ni kwa nini
Nahisi penzi lako
Ninataka kuelewa ni kwa nini
Nahisi penzi lako
Nahitaji penzi lako

Chorus
Saa zingine naropokwa
Maneno yanitoka juu ya penzi lako
Saa zingine wanichosha
Nataka uondoke nenda zako
Saa zingine ninazama na uzito la pendo lako
Saa zingine
Saa zingine naropokwa
Maneno yanitoka juu ya penzi lako
Saa zingine wanichosha
Nataka uondoke nenda zako
Saa zingine ninazama na uzito la pendo lako
Saa zingine

You cannot copy content of this page