Deux Vultures – Kinyaunyau Lyrics

Deux Vultures – Kinyaunyau Lyrics


Chorus

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

Verse 1 (Nasty Thomas)
Onyango shika dame kamata, ha!
Iyee mama
manzee huu manzi anapenda kunitoanisha
nikisota atafika ni fujo kwa nyumba
wee ndogo ndogo anataka kwenda shopping
South Africa, Germany si Nairobi
wacha basi nikupe ngiri kumi
shika kwanza hii ni ya matumizi
kabla mambo ya kuhanya kuwa kamili dada
sijalala siku mbili napiga diri
wee kinyaunyau unapenda kunitesa tu
leo ni phone, viatu pia na heels za blue
zote hizo unataka ununuliwe tu
na usiku una kazi ya kuenda out tu
mi ntangoja hiyo cargo mpaka round two
na ikifika ntaimanga tu kwa hamu
ntaimanga tu kwa hamu
na ikifika ntaimanga tu kwa hamu

Chorus
kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

Verse 2 (Colonel Mustafa)
Onyango shika dame kamata, ha!
Iyee mama
kinyaunyau anasema apewe gari
na nyumba ya gorofa kule pwani
OK, shika pesa si shida
mimi ni simba najua kile nawinda
mvumilivu hula mbivu ngoja ifike usiku
utakiona cha moto
wewe mtoto
kinyaunyau wa Mombasa anapenda sana raha
na yule wa Kisumu anapenda kunywa beer
wa Nairobi anapenda kunipigia
kila time ananiambia nitoe mpango
wakati wa baridi anapenda kunywa chai
na wakati wa joto anapenda kula ice cream
apewe anachokitaka ndio siku nikitaka pia mimi nitapata
kile nachokitaka
apewe anachokitaka ndio siku nikitaka pia mimi nitapata
kile nachokitaka

Chorus
kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

Verse 3
anasema anataka mali yangu
anasema anataka vitu zangu
anasema anataka phone
na anataka gari
alafu ndiyo awe wangu

anasema anataka mali yangu
anasema anataka vitu zangu
anasema anataka phone
na anataka gari
alafu ndiyo awe wangu

anasema anataka mali yangu
anasema anataka vitu zangu
anasema anataka phone
na anataka gari
alafu ndiyo awe wangu

anasema anataka mali yangu
anasema anataka vitu zangu
anasema anataka phone
na anataka gari
alafu ndiyo awe wangu

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
hawa (ndogo ndogo) kinyaunyau

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
hawa (ndogo ndogo) kinyaunyau

Chorus
kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

kinyaunyau hawa (ndogo ndogo)
wanataka nini (moto moto)
hi, wapewe, zo, wapewe, vitu zao

You cannot copy content of this page