Delicious – Tamu Sana Lyrics

Verse 1 
mtoto nieleze
nikuelewe
sababu unanifuata mingi
nilikupita
hapo kwa Peter
ukaniita basi niko hapa sista
najua ni pako 
una maswali
ebu jaza pengo au umenoki
huu ni Delicious
sitaki vita
nataka kujua ka wapenda kukatika

najua wewe wanipenda
unachotaka tutatenda
najua wewe wanipenda
hata Mombasa tutaenda

Chorus
na sura yako ewe manzi ni (tamu sana)
umbo lako wewe dada (tamu sana)
every time I look at you na-fantasise
ndio maana ninaimba (tamu sana)
njaro zako wee kipusa ni (tamu sana)
tabasamu lako baby (tamu sana)
kila nikikucheki nameza mate ndio maana ninaimba (tamu sana)

Verse 2
nikikucheki
usoni mwako
sura nzuri ata pia tabasamu
tega sikio 
nisikize
ninayosema tafadhali uyashike
kuja karibu
uwe tabibu
unipe busu polepole taratibu
wee ni wangu
na mi ni wako
wanitaka pia mimi nakutaka

najua wewe wanipenda
unachotaka tutatenda
najua wewe wanipenda
hata Mombasa tutaenda

Chorus
na sura yako ewe manzi ni (tamu sana)
umbo lako wewe dada (tamu sana)
every time I look at you na-fantasise
ndio maana ninaimba (tamu sana)
njaro zako wee kipusa ni (tamu sana)
tabasamu lako baby (tamu sana)
kila nikikucheki nameza mate ndio maana ninaimba (tamu sana)

Verse 3
shimmy shimmy ya
shimmy shimmy ya
gal you so fly

shimmy shimmy ya
shimmy shimmy ya
gal you dem fly

shimmy shimmy ya
shimmy shimmy ya
gal you so fly

shimmy shimmy ya
shimmy shimmy ya
gal you dem fly

toka zamani nilikuwa nimesota
ni hivi sasa nimeanza kuokota
najua nakupenda kama vile nyama choma
nataka tuoane tukimaliza kusoma
mavazi yako rangi sawa
hata nyuki watadhani wee ni flower
kwenye ndoto mimi hukuota
nikiwa mgonjwa wewe sista kweli ndiye dawa
so wee ni msupuu kushinda yule Alicia Keys
mazee usini-diss
come unipe hiyo kiss
niku-feel juu
sisemi kitu
napenda ngozi yako brown
nataka kupa thug love
kama bobby brown

Chorus
na sura yako ewe manzi ni (tamu sana)
umbo lako wewe dada (tamu sana)
every time I look at you na-fantasise
ndio maana ninaimba (tamu sana)
njaro zako wee kipusa ni (tamu sana)
tabasamu lako baby (tamu sana)
kila nikikucheki nameza mate ndio maana ninaimba (tamu sana)

You cannot copy content of this page