Dela & Bien-Aime Baraza – Adamu na Hawa Lyrics

(Dela)
You take me away, kama…
Adamu na Hawa
Romeo na Julia
wakipendana wawili
hugeuza dunia
na nishakupenda
nakuombea doa
usibadili nia wee
nikuenzi my dear you make me go…

ooh la la la…

(Bien-Aime Baraza)
Samsoni na Delila
Yusufu na Maria
wakipendana wawili
hugeuza dunia
na nishakupenda
nakuombea doa
usibadili nia wee
nikuenzi my dear you make me go…

ooh la la la…

(Dela & Bien-Aime)
you take me away, away, away…

You cannot copy content of this page