Daudi Kabaka -Kabaka Says Lyrics

kuuliza jamani, 
si ujinga
bali ni kujua mengi ya ulimwengu

hawa viwete wetu, 
wasiojiweza
hebu nambie nyi hupata na muna ka ni watoto

mkikutana njiani
sauti ya mtoto
yenye huruma saidia maskini

mkikutana njiani
sauti ya mtoto
yenye huruma saidia maskini

tutasaidia nani?
tusaidie nani?

tutasaidia nani?
mama na mtoto

aee, mama na mtoto 
mtu ukizaana kipofu
mtu ukizaana kiwete
mtu ukizaana bubu
chukua mtoto

aee, mtoto si mjinga
aee, mtoto si kipofu
aee, mtoto si kiwete
aee, mtoto sio bubu

nasikitika kuuliza
wasiojiweza
hawa hudungwa mimba na nani nijue

tusaidie maskini
mtoto na mama
lakini huyu mtoto amezaliwa na nani

asiyejiweza
ndiye baba wa mtoto
au ni wa mtu mwenye akili zake

asiyejiweza
ndiye baba wa mtoto
au ni wa mtu mwenye akili zake

wanaume maskini
huomba njiani
saidia maskini akishalewa pombe

mtu mwenye shida
akipata kidogo
hutumia kwa shida yake sio kulewa pombe

tembea kila towni
wakati wa usiku
maskini wanalala bara ndani za maduka

tembea kila towni
wakati wa usiku
maskini wanalala bara ndani za maduka

tutasaidia nani?
tusaidie nani?

tutasaidia nani?
mama na mtoto

aee, mama na mtoto 
mtu ukizaana kipofu
mtu ukizaana kiwete
mtu ukizaana bubu
chukua mtoto

aee, mtoto si mjinga
aee, mtoto si kipofu
aee, mtoto si kiwete
aee, mtoto sio bubu

You cannot copy content of this page