Daudi Kabaka – African Bush Baby Twist Lyrics


nyamazeni watu wote
mabibi na mabwana
kwa mara yetu ya kwanza
kindi wa Africa
wanawaimbia
Zangu, aamkua jamaa (jambo wote)
Juma, aamkua jamaa (jambo wote)

Afirika kwote inapenda twisti
Afirika kwote inacheza twisti
ata sisi wanyama wa misituni
tunaicheza na kuimba

Afirika kwote inapenda twisti
Afirika kwote inacheza twisti
ata sisi wanyama wa misituni
tunaicheza na kuimba

tucheze, tucheze, tuimbe twisti
tucheze, tucheze, tuimbe twisti
tucheze, tucheze, tuimbe twisti
sisi wanyama wa mituni

tucheze, tucheze, tuimbe twisti
tucheze, tucheze, tuimbe twisti
tucheze, tucheze, tuimbe twisti
sisi wanyama wa mituni

sisi tunapenda twisti

twisti muzuri sana

Afirika kwote inapenda twisti
Afirika kwote inacheza twisti
ata sisi wanyama wa msituni
mnaicheza na kuimba

Afirika kwote inapenda twisti
Afirika kwote inacheza twisti
ata sisi wanyama wa msituni
mnaicheza na kuimba

tucheze, tucheze, tuimbe twisti
tucheze, tucheze, tuimbe twisti
tucheze, tucheze, tuimbe twisti
sisi wanyama wa mituni

tucheze, tucheze, tuimbe twisti
tucheze, tucheze, tuimbe twisti
tucheze, tucheze, tuimbe twisti
sisi wanyama wa mituni

You cannot copy content of this page