Colonel Mustafa –  Mahewa Lyrics

Colonel Mustafa – Mahewa Lyrics

Verse 1 (Colonel Mustafa)
asante kwa mafans 
na marafiki
radio presenters kwa kucheza mziki
usichoke tafadhali cheza hii CD
matatu nikipanda inatwanga tu mahewa
speaker Pioneer
wamama wanazusha maskio naumia
look up in the sky ni mavulture tu
na mahewa mtapewa sana mwaka huu
sasa let’s go RK nipe mic
nina-flow flow flow kama River Nile
after two weeks nimekuwa famous
ngoma kwa radio zinachezwa utashangaa
kila nikipita wanaanza kuniita “Mustafa”
nimevaa shirt dirty jeans ninacheka
kwenye dance floor bebe wanajileta

(Mercy)
Bila mahewa
sioni raha

Chorus
ni mahewa tunapewa
bila mahewa sioni raha

ni mahewa tunapewa
bila mahewa sioni raha

Verse 2 (Nasty Thomas)
Mr. DJ tupe hewa tujirushe kwa furaha
mahewa utapewa ukiwa kwenye bar au mtaa
inashika inabamba wacha kuzubaa
Peninah na Rebbecca wacha kushangaa
ebu songa… hapo… mbele… huku… kuna… nyesha… mahewa
it’s a Friday
kila moja yuko busy ana-party
Nasty Thomas niko bongo na ma-honey
na Mustafa on the floor ana-party
everybody in a party (Kengeles)
everybody in a party (Florida)
everybody in a party (K Klub Bobs)
everybody in a party (Mamba Disco)
everybody in a party (Bottoms Up)
everybody in a party (Tembo Disco)
everybody in a party

(Mercy)
bila mahewa sioni raha
DJ weka cheza ngoma
bila mahewa
sioni raha

Chorus
ni mahewa tunapewa
bila mahewa sioni raha

ni mahewa tunapewa
bila mahewa sioni raha

You cannot copy content of this page