CLD ft. Bobby Mapesa & Andre – Soldier Lyrics

Intro
Micharazo
Toka Momba, Nairobi mpaka Dar
Ndio si ma-soldier

Chorus (CLD)
Ka unapenda soldier
Ma wacha kungoja
Manzi mami unapenda CLD
G mwenye kuroga
G mwenye vioka
Kama wanipenda nieleze basi
Jina ni nani (nielezee mi)
Watoka mtaa gani
Jiji lako ni gani (Ndio Mombasani)
Kuleta bahari clique ni micharazo

Verse 1
Kuja kwa G mwenye pose
Toka pose inn
Young young black mami fresh and clean
CLD naleta nare
Bonge la G
Toka Mombasani
Mapozi-I ndani ya Dar
Mi mmoja wao uliza kabaisa
Ma MC Kibao wananishangaa
Wanapigwa na butwaa wakati mi napoa
I got style like zillion
One in a million
So don’t get confused when you hear me on the radio
I give you hip hop and R and B
I give you this baby you know me

Chorus (CLD)
Ka unapenda soldier
Ma wacha kungoja
Manzi mami unapenda CLD
G mwenye kuroga
G mwenye vioka
Kama wanipenda nieleze basi
Jina ni nani (nielezee mi)
Watoka mtaa gani
Jiji lako ni gani (Ndio Mombasani)
Kuleta bahari clique ni micharazo

Ka unapenda soldier
Ma wacha kungoja
Manzi mami unapenda CLD
G mwenye kuroga
G mwenye vioka
Kama wanipenda nieleze basi
Jina ni nani (nielezee mi)
Watoka mtaa gani
Jiji lako ni gani (Ndio Mombasani)
Kuleta bahari clique ni micharazo

Verse 2 (Bobby Mapesa)

Kwa bed ni ma-fight yo ki-vietnam
Uko guaranteed satisfaction maximum
Mi na-sneak kwa skirt
Kama thief kwa night
Sijali kama tutazima ama washa light
Kweli mimi ni soldier
Tukimaliza naku-show tuko pamoja
After that
Mi huwa si-tell
Wa-show ma-detail
Ame
Niku-teach
Venye unafaa ku ku-make speech
Ukiwa next to macharazo clique
Ma-soldier
Wanasema sisi tuko sick
Juu ya venye tunakaa
Venye tunavaa
Venye tunacheki mama
Ulimi ndani kata tamaa
Kat tama

Chorus (CLD)

Ka unapenda soldier
Ma wacha kungoja
Manzi mami unapenda CLD
G mwenye kuroga
G mwenye vioka
Kama wanipenda nieleze basi
Jina ni nani (nielezee mi)
Watoka mtaa gani
Jiji lako ni gani (Ndio Mombasani)
Kuleta bahari clique ni micharazo

Verse 3 (Andre)
I’m a street soldier
Kwanza ngoja
Kufa kupona
Camouflage kichaa lazima kwangu utaiona
Nice heart, nice hat, nice cut baby
Be with a street soldier utafurahi lady
Security maximum
Rap star platinum
Ondoeni wee ujinga
Respect us n***as
(siwaondoshi na mafinga) 
(siwaondoshi na mafinga)

(CLD)
Ka unapenda soldier njoo hang na D
Njoo hand na mi
Kichaa wa mabinti
G wa micharazo
Namba moja siwezi baki zero
Ingawa ulini-miss kwa video mo faya
Bado strong na D navuta kaya
Hey yo Bobby, Andre

You cannot copy content of this page