Christian Longomba – Kioo Lyrics


Intro
Kioo, niambie please
Christian napendeza sipendezi
niambie please
nipo au vipi jo

Kioo, niambie please
Christian napendeza sipendezi
niambie please
nipo au vipi jo

Verse 1
nina huyu rafiki wangu
amewapoteza watu wengi
amewajaza na uwongo si
kila wakati anasema ukweli
amewafanya wamwamini
sasa hawaambiliki
ameruka roho zao
oh mi nakuambia

Bridge 
Anawadanganya ni warembo kumbe
mambo bado
anawadanganya wameiva kumbe
mambo bado
anawadanganya malaika kumbe
mambo bado
anawadangaya wameiva kumbeyeye

Chorus
Kioo, kioo, kioo…

Verse 2 
wakishadangayika hawaambiliki
wanavaaa vitu vya kila aina
kama mama mzee miniskirt uache
mtoto wako wa kike avae vipi
kama, jeans zinakubana unashindwa kuinama
mbele za watu unakosa heshima
kama, wanaume kama wanawake
kujipodoa na pia kwa mavazi

eeh, wee kioo wee
eeh, wee kioo wee

Bridge 
Anawadanganya ni warembo kumbe
mambo bado
anawadanganya wameiva kumbe
mambo bado
anawadanganya malaika kumbe
mambo bado
anawadangaya wameiva kumbeyeye

Chorus
Kioo, kioo, kioo…

Verse 3
kama unajipenda ulivyo mikono juu
weka juu
kama unajipenda ulivyo mikono juu
mikono juu

kama unajipenda ulivyo mikono juu
weka juu
kama unajipenda ulivyo mikono juu
mikono juu

Kioo, niambie please
Christian napendeza sipendezi
niambie please
nipo au vipi jo

wee, eeh, eeh
mikono juu mikono juu

wee, eeh, eeh
mikono juu mikono juu

wee, eeh, eeh
mikono juu mikono juu

wee, eeh, eeh
mikono juu mikono juu

wee, eeh, eeh
mikono juu mikono juu

Chorus
Kioo, kioo, kioo…

Verse 3
kama unajipenda ulivyo mikono juu
weka juu
kama unajipenda ulivyo mikono juu
mikono juu

kama unajipenda ulivyo mikono juu
weka juu
kama unajipenda ulivyo mikono juu
mikono juu

You cannot copy content of this page