Chizi – Sana sana Lyrics

Chizi – Sana sana Lyrics

CHORUS LYRICS:
Dalili ya mvua ni mawingu
yenye inakuja na misimu
hivyo moshi ishara ya moto
kataa hitimu kabaki mtoto
sana sana ndivyo mambo huwa
ndivyo huonekana
sana sana ndivyo mambo huwa
ndivyo hujulikana

VERSE 1 LYRICS:
Ya ndani huwezi kuficha, ukweli utajitokeza
ona dalili zinapoonekana
ooh, kuepuka na maafa, kuwa katari kwa masika
kuwa tayari kwa kiangazi
leso halipoonekana, halipo liko njiani linakuja
liko njiani linakuja
la gizani mwisho huonekana
haja ya binguni mwisho huonekana

CHORUS LYRICS:
Dalili ya mvua ni mawingu
yenye inakuja na misimu
hivyo moshi ishara ya moto
kataa hitimu kabaki mtoto
sana sana ndivyo mambo huwa
ndivyo huonekana
sana sana ndivyo mambo huwa
ndivyo hujulikana

VERSE 2 LYRICS:
Ukweli kama mwangaza huwezi kufichika
na moja kwa moja hakika wataacha ulimwambi
wataachana na uongo, mambo yanayoleta kukosana
uadui, yote ya ubaya na chuki
kote duniani, tutajikaza nakulinda amani
tukijaribu kuishi kwa umoja
kwa mbwembwe zetu zote Mola atatubariki
kwa mbwembwe zetu zote Mola atatubariki

CHORUS LYRICS:
Dalili ya mvua ni mawingu
yenye inakuja na misimu
hivyo moshi ishara ya moto
kataa hitimu kabaki mtoto
sana sana ndivyo mambo huwa
ndivyo huonekana
sana sana ndivyo mambo huwa
ndivyo hujulikana…

You cannot copy content of this page