Chiwawa – Mnafeel Aje Lyrics

Chorus
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)

Verse 1


nabambika sana nikiona vile mnashangaa
ni ka badala ya mic nimeshika mpaka sub-machine gun
hadi nishike hii fani ndani
chenye natema ni kali yani
watu wote wenye walidhani
wamekunywa dawa za aina gani
chenye nataka nilipoteza
ndio naeka dagger ndani ya blazer
wananipima na gun za laser
nafanyia hater wote ma-favour
labda inaezekana
possibly I think maybe
tunaeza hook up hii Monday
uone chenye uli-miss weekendi
na-hope sijawa-hurt feelings
juu ni ka nawakatsia
unashikwa na hard feelings
juu Chiwawa anakaribia
nakaribia hadharani
mwenye siri aseme ni nani
twende nje tujadiliane
juu meno zake haziko bikani

Bridge
dum dum didi dum dum mna-feel aje
kam kam kama kama kama saa hii nifuate
kitu mlitaka mimi nilishawapea
swali imebaki sasa ni ati mzeiya

dum dum didi dum dum mna-feel aje
kam kam kama kama kama saa hii nifuate
kitu mlitaka mimi nilishawapea
swali imebaki sasa ni ati mzeiya

Chorus
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)

Verse 2
zam zam jiggy zam zam na vitu biggy
damka toro bum shakie na mi siringi
nikimada hii fani yani
napita upande hadi ndani
badala ya kusema sidhani
napiga kambi kwa studio ndani
oh bana
juu round hii bana mi sisleki
hii mkwanja yote saa hii kuna vile mi naicheki
saa hii nawaza vile ntapata ndai
right now si ati mambo ya baadaye
nataka mamita kabla anidai
ndio thirty five angalau nikae
vile nakam through kwa hii ngoma 
yani na-rhyme-isha hadi ma-fullstop na comma
hadi nachujwa kutoka boma
kitu funny ni vile hautaweza kuelewa ka hujasoma
make space ya hii hata kama memory yako yote imeshona
toka sana
naroga viajabu utadhani ni kama wanabadilisha ma-snare kabla beat haijasimama
nawapenda sana lakini vile inaonekana
itabidi saa hii urafiki na biashara zimeachana

Bridge
dum dum didi dum dum mna-feel aje
kam kam kama kama kama saa hii nifuate
kitu mlitaka mimi nilishawapea
swali imebaki sasa ni ati mzeiya

dum dum didi dum dum mna-feel aje
kam kam kama kama kama saa hii nifuate
kitu mlitaka mimi nilishawapea
swali imebaki sasa ni ati mzeiya

Chorus
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)
Saa hii mnafeel aje (poa tena sana)

You cannot copy content of this page