Chiwawa & Didge – Niko Mbele Sana Lyrics

Intro (Chiwawa)
Yeah
another two-time exclusive
Chiwawa
hata hakuna haja ya kujikaribisha
no need for introduction
no re-introduction
I like this
Babz on track
you know how we do

Chorus (Didge)
niko mbele sana sasa
mi nawangojea
fursa kawapa
hawaja bado tokea
hata nikisimama
hawanikuti mzeiya

niko mbele sana sasa
mi nawangojea
fursa kawapa
hawaja bado tokea
hata nikisimama
hawanikuti mzeiya

Verse 1 (Chiwawa)
kuna build up ya adrenaline niki-push weight ka daily
niko focused ka Schneider
nakaa on track ka reli
na-big up old massive wameni-contact already
nataka ni-patch up all holes ndio ma-hater waache ku-envy
vile nabadilikanga kila wakati all of a sudden
niko na critics kila mahali nyuma ya neti kama curtain
naleta ma-hype nataka ni-pass na full force of energy
ndio niki-break it down kwa nyi wote state of mind ikuwe anarchy
copy vile na-do lakini msika-dub it all exactly
niko na bonge la majambazi wanaweza ku-lay up ka Barkley
weka dough kwa mdomo iko useme chenye una-like
weka dough kwenye mdomo yangu iko most definetely niko on the mic

Chorus (Didge)
niko mbele sana sasa
mi nawangojea
fursa kawapa
hawaja bado tokea
hata nikisimama
hawanikuti mzeiya

niko mbele sana sasa
mi nawangojea
fursa kawapa
hawaja bado tokea
hata nikisimama
hawanikuti mzeiya

Verse 2 (Chiwawa)
hao husema mi ni one of a kind, nafaa kuwa state property
ka hujaskia poa ntaisema tena ndio ui-get properly
kuna watu wako ka mimi na kuna wale hutaka kuwa
pia kuna wale hunithamini, hao ndio hunilipa nikiwa on tour
niko na degree ya hizi vitu nakaa ka chizi wa ndom na Heineken
kila siku na-brainstorm ka Einstein ndani ya hurricane
maganji na mazawadi nipewe kambi kila mahali
kitambi nishapata nafaa tu gym mambo iwe shwari
ni kama nakata ma-challengers nafanya ma-pro wakae amateurs
kawaida ya watu kubonga mob na wanajua hawa-stand a chance
somehow na-break it down, na-manage hizi vitu vi-anyhow
na-highlight kila kitu hamfanyi, kwa kila kosa nipewe, pow

Chorus (Didge)
niko mbele sana sasa
mi nawangojea
fursa kawapa
hawaja bado tokea
hata nikisimama
hawanikuti mzeiya

niko mbele sana sasa
mi nawangojea
fursa kawapa
hawaja bado tokea
hata nikisimama
hawanikuti mzeiya

Verse 3 (Chiwawa)

kila saa niko on the scene
na-hold it down obviously
ni all about kukaa in the game na kubakia dope MC
wale wote walikuwa wanani-doubt wanafaa wa-pack up wakwende
wanajam juu napata airplay ka tenje ndani ya ndege
walini-put up to the test saa hii wana-learn a good lesson
niko na badge ya kujihifadhi niko under influence siezi mention
na-up the ante kila saa wakirudi back to basics
wakikufa njaa maksudi mi narudi lab ku-make hits
nina noti pia kwa benki
masenti kadhaa kwa briefcase
naeka dough pia kwa akili ka vile pastor mpoa hu-keep faith
ni funny vile kila saa mi na-bounce back ka echo
na kila time mi na-broaden up nabadilisha ma-ratio

Chorus (Didge)
niko mbele sana sasa
mi nawangojea
fursa kawapa
hawaja bado tokea
hata nikisimama
hawanikuti mzeiya

niko mbele sana sasa
mi nawangojea
fursa kawapa
hawaja bado tokea
hata nikisimama
hawanikuti mzeiya

You cannot copy content of this page