Cartel, Alfayo, Kizo B, Rabbit, Innocent, Kenrazy, Sirgodizoo, Leboh & Rapdamu Song: Inakubambia Wapi (Remix) Lyrics

(Alfayo)
Eehhhaaa
Ndio hawa ukiwaona hao unajua tumekuja kuremix omerrraaaa

Chorus

We inakubambia wapi? – kwa kichwa
We inakushikia wapi ?– kwa mgongo
We inakutachia wapi? Kwa magoti
We unaifilia wapi? Haaaaaaaaaaa.

We inakubambia wapi? – kwa kichwa
We inakushikia wapi ?– kwa mgongo
We inakutachia wapi? Kwa magoti
We unaifilia wapi? Haaaaaaaaaaa.

Verse 1 (Kizo B)
Mi na basi kama putu nalipuka kama boom najigyjigy alafu natumia 
Nawalamba nawameza yani zidi ya anaconda we abiria mikonda leta changu mapema
Nishasema babalao am back mutu mzima nishasema am back 
Usione so wasema  inakubambia wapi inakushikia wapi 
Hi ndio remix kizob na cartel ya hahahah  am back

Chorus
We inakubambia wapi? – kwa kichwa
We inakushikia wapi ?– kwa mgongo
We inakutachia wapi? Kwa magoti
We unaifilia wapi? Haaaaaaaaaaa.

We inakubambia wapi? – kwa kichwa
We inakushikia wapi ?– kwa mgongo
We inakutachia wapi? Kwa magoti
We unaifilia wapi? Haaaaaaaaaaa.

Verse 2 (Rabbit)
hawajui vile kunakam na vile kunaenda
nikubambe kiunyama ama nikubambe ka credit rabbit ni myama kukubamba niko ready 
kaka sungura narole na anyuola baby sa izo mchana rafiki inambambia kwa kifua
mwili yake ni ka gari anfurahia nikistua niko na kibuyu ya ngata utaenda nikmwagia kilometa katha clatch na peddle sitachoka niko hi side ya the back nalengo si nitosha

(Innocent)
Mi ni king wa street kama dj mantix yani flow rap king kitungo to abropadi
Inakubambia wapi kwa choo na bathroom kwa kitchen na bedroom sa izi kwa staffroom nikiright ma cheque na paper na dolla bills 
Sa singine inanibamba msupa akizoom kifua na nyuma walai inauma
Wewe ndio 1st lady kwa anyuola family AF baby yani Katenga baby

Chorus
We inakubambia wapi? – kwa kichwa
We inakushikia wapi ?– kwa mgongo
We inakutachia wapi? Kwa magoti
We unaifilia wapi? Haaaaaaaaaaa.

We inakubambia wapi? – kwa kichwa
We inakushikia wapi ?– kwa mgongo
We inakutachia wapi? Kwa magoti
We unaifilia wapi? Haaaaaaaaaaa.

Verse 3  (Kenrazy) 
Niko kila place ka unipendi utahamia wapi flow mob kama ni kuistore ni ngamia ngapi
Ghipuka ju ya reff razy nipe nafasi mi niko studio
We inakubambia wapi haaaaaa
Wetha hotel ama motel mi icant tell nilikaliwa na cartel 
Very 1st right there hakuna cha bathen night bana nimekill hizo bia ngapi?

(Sirgodizoo)
Ahhh sirgodizo mliubamba sana iliwabamba sana mkaipenda kama groupie
Ndio mana hi remixi I inakubambia wapi najua inawamba basi rusha upande uhondo
Ongeza sauti ya speaker mpate mdundo unaeza ruka cheke ruke ukirudia nayo 
Pia mimi sirgodizzo niko ndani

(Leboh)
Mimi kama big boss najua kitu nawindana
Usione vako zagu kasha uanze kupingana 
Salute to the queen yani salamtherere 
Yawa mae okatugo agwaso kaka odiro kana wacha thong ju
Ati manze kumekucha baby acha pupa ani yawa sud kucha
Najua inakubamba kwa kwapa  ssssshhhhhh 
Sasa ni kwa thigh ju.

(Alfayo)
Omera nyamama wapi ehh!

Chorus
We inakubambia wapi? – kwa kichwa
We inakushikia wapi ?– kwa mgongo
We inakutachia wapi? Kwa magoti
We unaifilia wapi? Haaaaaaaaaaa.

We inakubambia wapi? – kwa kichwa
We inakushikia wapi ?– kwa mgongo
We inakutachia wapi? Kwa magoti
We unaifilia wapi? Haaaaaaaaaaa.

Verse 4 (Rapdamu)
Rapdamuuu we inakubambia wapi nakuigusa itakuwa sa ngapi
Rapdamu supa human yunami nani danglas dirty fox tsunami
Alitucheki kwenye show akanitext kwenye phone akaniona so fly 
Nikambamba na flow inakubambai wapi niambie tafathali 
nipeleke mos mos nisiamshe jirani

(J.I)
Tracki zangu mi kupata airplay 
Eti wanachonga j.i nimekata pain ni kipaji juhudi naofeel tu mziki
Skia navyo nata na biti haaaaaaa
Oooo ooo ooo  haaaaaa
Nawabambisha bambisha 
Ooo ooo ooo haaaa eheeee

(Alfayo)
Inakubambia wapi nyamama hahahahaha
Kwa makwapa wolololo

(Cartel)
Bado mimi ninapanda matatu naziamkia asubui tena sa tatu
Morning glory guranttee mara tatu usistuke anyuola family tuko watatu
Anaconda ni wengi lakini kuna the real the better yani babayo
Inakubambia wapi kwa magoti kiuno basi uliza mamayao
Haha kamata tunacheza soccer the real soccer sio kama Adebayo
Tunaget physical kama alfayo nab ado tunakoma nayo nayo ausio
Ukicheki migingo ikipita wacha ikubambe mara hiyo hiyo
Tunaishikia wapi – kwa kichwa
Unaifilia wapi – kwa mgongo
Inakubambia wapi – mambo mseto katenga’ style

(Alfayo) 
Ndio hawa ukiwaona hao unajua tumekuja kuremix omerrraaaa

You cannot copy content of this page