Calvo ft. Ceda – Nisamehe Lyrics

Verse 1
Mimi nimekua na dame kwa miaka ka mbili, moja tukijuana, ingine tuki party,
Maisha ilibamba , ilukua kuvinjari, leo ni kwa bedroom na kesho kwa gari,
Leo niko tu,am sorry baibe, mapoz na yeye, my girl, my baibe,
Ma blood pressure za nipanda panda, ju sahi nili realize nili blander,
Saa sita usiku na toroka mji, na jua baibe wangu yuko safari,
Kuna kitu ndani, cha nizuia, lakini sikio la kufa halisikii dawa,
Nilikua naketi so easy, (so easy) nilicheza game ligi mbili, na sasa nimezubaa,
Misamba nimepasuka, kuifuata njia mbili, ma penzi baibe, am sorry,

Chorus
Nisamehe, ni me lie, nime cheat,
Nisamehe, nime kudeceive, am sorry,
Nisamehe, wangu baibe,
Nisamehe, wangu baibe,
Nisamehe, am sorry,

Vesre 2
Sa nasikia huyu dame alifire jo, alinipata na beshte yake kwa  sheets na makuchi,
Na sahi amesema nisimcall, nisimphone, nimwache alone,
Mi ni jamaa mashori kibao jo,
na sahi huyu dame sitaki aende home,
life itachange, wife nimeget, jo sahi calvo am a one woman pet,

sikutarajia kua hivi, nimepoteza njia, naenda nyumbani,
baada ya mapenzi roho ya umia,
siwezi muangalia machoni yeye yualia,
aliniamini kunidhamini, hii story haishi hivi,
aliniamini kunidhamini, hii story haiwezi isha hivi,
(Baby am sorry, niliteguka tu, you know me)

Chorus
Nisamehe, ni me lie, nime cheat,
Nisamehe, nime kudeceive, am sorry,
Nisamehe, wangu baibe,
Nisamehe, wangu baibe,
Nisamehe, am sorry,

Nisamehe, ni me lie, nime cheat,
Nisamehe, nime kudeceive, am sorry,
Nisamehe, wangu baibe,
Nisamehe, wangu baibe,
Nisamehe, am sorry,

Ka unapenda hii ngoma sema, parara ra ra ra!
Shika dame uende naye sema, , parara ra ra ra!

Ju calvo na ceda, , parara ra ra ra!
Mwaka huu ni kunoma, , parara ra ra ra!
Aro maspanner, , parara ra ra ra!
Ha ha ha!
Nisa! Nisa! , parara ra ra ra!

Am sorry baibe, nisamehe baibe, Am sorry baibe, nisamehe baibe,
Am sorry baibe, nisamehe baibe,

You cannot copy content of this page