Caltoz Jinamizi – Njoroge Lyrics

VERSE 1 LYRICS:
Gyea ee, Caltoz Jinamizi, Caltoz Jinamizi Gyea
Nilikua na beste yangu anaitwa NJOROGE
ye ndio alinipatia morale jo niroge
siku mingi tulitembea na NjOROGE
na story mingi nilige NJORO ee
sa sijui ka ni movie za commando
ama ni vile alikua ako mandom
NJOROGE alikata jo kuhustle
akiona vya wengine anapita nazo
kimchezo mchezo NJOROGE aliingilia wizi
mamake akiambiwa anamtetea si siri
alisahau asiyefunzwa na mamaye
mwishowe  hufunzwa na mamawe
nilijaribu jo kukanya NJOROGE akanisho
“Caltoz kuwa mjanja”
nikamsho wajanja wako Langata
na wale wameponea jo  wako Kamiti

CHORUS LYRICS:
NJOROGE ee kuliendaje bana
hadi ukaingilia wizi
NJOROGE ee we ndio ulikua beste yangu
sa ona umenisare
NJOROGE ee heri ungekam turoge
ile ngoma yetu bana  NJOROGE ee ee NJOROGE eee

VERSE 2 LYRICS:
“Story yangu inaendelea”
Story ikawa ni kuvunja vifuli kwa watu
ma dvd ma tv zote alipigana bafu
NJOROGE alikua kijana mfupi sana
sijui niaje alimea mkono mrefu
kwa corner mamatha walipiga nduru
mabuda aliwaibia kwa kuwapiga rungu
NJOROGE na jeshi yake ya mtu saba
akina Davi, Onyi walihangaisha watu sana
mtaani kila mtu wasiwasi
hadi mavijana aliwahanda ganji
si wote tunajua siku ya mwizi ni gani
ju hata story yake tuliskia kwa habari
ukimsho anakwara, akisanya anatwara
alichungulia kaburi ka mara saba
alisahau hiyo system ni noma
ukikuja na moto utarudi na moshi

CHORUS LYRICS:
NJOROGE ee kuliendaje bana
hadi ukaingilia wizi
NJOROGE ee we ndio ulikua beste yangu
sa ona umenisare
NJOROGE ee heri ungekam turoge
ile ngoma yetu bana
NJOROGE ee ee NJOROGE eee

VERSE 3 LYRICS:
Fuata nyuki ule asali
NJOROGE aliamua kufuata asali akaumwa na nyuki
“MWIZI” matha alipiga mayowe
“U-WII” waliwikishia NJOROGE
alidhani mwenye nyumba ametoka
kumbe alikua kwa bafu anaoga
NJOROGE huyo akaruka gorofa
kufika chini ndio huyo maasai na njora
RAA akapigwa chuma
nilitamani jo kumuokoa
lakini maji ilikua ishamwagika
kuchota jo ikakua shida
buda flani na rungu
fala flani na mbao
watu wa mjengo na madimanga RAA
noma sana hapo beste yangu wakamada

CHORUS LYRICS:
NJOROGE ee kuliendaje bana
hadi ukaingilia wizi
NJOROGE ee we ndio ulikua beste yangu
sa ona umenisare
NJOROGE ee heri ungekam turoge
ile ngoma yetu bana
NJOROGE ee ee NJOROGE eee

You cannot copy content of this page