Calif Angels – Umeachwa Lyrics

Verse 1 (Choku)
ulisema umeshaboeka
mwenyewe ukatoeka
manzi mwingine ukamweka
sasa nina wangu nayempatia
sasa nina wangu nayemtingizia
magoti sakafuni
kwani aibu wee huoni
eti unataka nikurudie
nikurudie, nikurudie

Chorus
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 

umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 

Verse 2 (Ratatat)
hujachoka kunitafuta
maneno yangu mi na wee
ni maneno kwisha
tulikuwa kitu special kabisa
sitaki story zako mi nakuaibisha
ulisema utanipenda milele
na wee hunikumbuka saa hii na una nyege
hautoshelezi wala haufikishi
kiwango chenye mi hutaka haupimiki
mi ni manzi mkubwa si msichana
saa nataka mwanaume si kijana
nishampata mwenye namzungushia
usiku na mchana nampakulia
chakula fiti kukula hajifungi
utamu mwingi niwashe ka kibiriti

Chorus
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 

umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 

Verse 3 (Lady S)
eeh, 
umeachwa
umetupwa
wee ni fala stuka unatembea mchana kutwa
ukitafuta wasupa story zangu sahau
ziwe ndoto kwako ulikuwa msoto
ulicheza na moto sasa utajuta
nacheza hii game nikijua nitafika
hata ka waudhika
mbona kuharibu my name ukijua hautafaidika
mi nabambika hata ka wee unaudhika
eeh, nitakuitania uvunjwe
ndio ujue vako zako hazibambi
nikiulizwa nataka nini niteteshe hizo meno zako nne za mbele
na huyo manzi yako akinicheza
mimi Ratatat Choku ta-come tumnyoe hizo nywele

Chorus
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 

umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio 
umeachwa, umetupwa
ndio sababu unalia, kilio

You cannot copy content of this page