The Bugz – Naskia Utam Lyrics

Roundi hii ka uwezi dance, we enda home
Sexy

Hey Mr. Dj, hii track ni tamu weka replay
Naskia utam tam toka kichwa hadi mguu
Situ party
Nikama leo ni sikukuu aah ma
Sitaki kudance ma
Nataka twende tukaskie utam ma
Ni sangapi?
Hapa ni wapi?
Vile we ni msawa chali wako yuko wapi?
Aah, story gain hizo unaleta?
Ushaanza kuteta na siko kangeta
Tushafika, utam inaskika CD zimepasuka keja inanuka
Na amuka
Naweka ngoma za dread locks, bedrock
Roundi hii ni hard rock ah take it easy si sabuni haikwishi
Dance!

Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Hauskii utam naskia utaam

Manze Juliet alikubali Romeo
Hiyo nitam juu Romeo alikua VBO
Alinipiga kiss bila hata mimi ku know
Niliskia utam kushinda ile ya kupiga show
Huskii tam sakanya dem uskie tam
Coz if u like each other, it’s all sweet in your head
Manze we m-smart hiyo ni tam kwa workin class
Nikigonga glass na mabeste hiyo ni tam
Nikipata grade high kwa exam hiyo ni tam
Na nikitoa hii ngoma ya tam ntaskia tam
Juu tam tam ni tam tam na mi huskia tam
Hata uliza Malkia Jane
Nikibonga naye ni tam
Juu skia when we say we love each other
When I hug her we feel
Time for each other
Forever together we’re like birds of a feather
Forever together we’re like birds of a feather

Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Hauskii utam naskia utaam

Yah mziki tam
Kuenda hepi pia ni tam
Kulala tam
Chakula tam pia utam
Kung’ara tam
Timber kubwa ni utam
Maliza homework juu kiboko hijui tam

Mziki tam
Kuenda hepi pia ni tam
Kulala tam
Chakula tam pia ni tam
Kung’ara tam
Timber kubwa pia ni tam
Maliza homework juu kiboko haijui tam

Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Hauskii utam naskia utaam

Hauskii utam naskia tam
Sexy ka huwezi dance we enda home

Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Huskii utam huskii utam anskia utam
Naskia utam naskia utam naskia tam tam
Hauskii utam naskia utaam

You cannot copy content of this page