Bugz – Elewa Lyrics

Verse 1
Sima anishi nitakuchukia, urafiki pia nao ni sawa,
Machozi yangu kwako yameisha, elewa sio shida nimepata,
Kuvumilia nimechoka, nami nilikueleza, sikuhitaji mi si wako tena,
Kifunguo chako mi nimekitupa,
Wee we we , a a a , eh eh e eh,
E e e nimechoka nakusiokia,
A a a uongo wako , nakujulia,
E e e nimeondoka, naishia,

Chorus
Siku taki sikutaki, a ah,
Sikutaki ah aha,
Si utani naishia, Sirudi kwako a aha
Sikutaki, si utani, sikutaki a aha,
Naishia naishia, sirudi kwako a aha,

Verse 2
Wanidharau mi nakupenda, majuto sasa wajutia,
Nakutishia, mimi mzuri nakuambia,tega sikio na kuimbia,
Jua nitazidi kuendelea, usikasirike, usipige domo, shhh!
Mimi si wako, kifunguo nime kitupa,
Bridge
Eh e e e, weeee
Ah hhh aha aha ah,
Eh eee, e e ehhh,
Weeeee,
Wee we we , a a a , eh eh e eh,
E e e nimechoka nakusiokia,
A a a uongo wako , nakujulia,
E e e nimeondoka, naishia,

Chorus
Siku taki sikutaki, a ah,
Sikutaki ah aha,
Si utani naishia, Sirudi kwako a aha
Sikutaki, si utani, sikutaki a aha,
Naishia naishia, sirudi kwako a aha,

Verse 3 (rap)
Hallo she, ni vipio, watasema fast, nitasema slow,
Nilikuuliza mbona uli lay low, o.k basi pia mbona uli go, basi,
Sa nishajua power zangu hazikua zinakubambua,
ama, ni wewe hakua umenichagua,
mchezo TV, Gazeti ndio ulitambua,tulia
ama ni juu ya money ndio uliniacha lonely, san a feel chimney,
ama ni Yule beshte yangu Johnny, hakubambika na zile converse zake za pioni,
hash,bado mimi ndio nabonga,
sa najua unafeel poa ju ulinilenga,
aha si we ni mimi naji jenga,
juu karibu ni lose it, na nikuwe mwenda,
kama una play, ni play na mse wa lake high,
ka una love, ni love bila kulie,
ka unirudii, mi nauliza why,
coz bado na kulove na nakudai,
Siku taki sikutaki, a ah,
Sikutaki ah aha,
Si utani naishia, Sirudi kwako a aha
Sikutaki, si utani, sikutaki a aha,
Naishia naishia, sirudi kwako a aha,

You cannot copy content of this page