Buccaneers (E-Sir, Habib & Manga) – Coast to Coast Lyrics


Chorus(E-Sir)
coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

Verse 1 (Manga)
Habib na Manga
hii ni stress ya shamba
wangapi wanataka
ukitaka utapata
za kwetu zinabamba
kama gomba na Tusker
chakula ni kitamu
Ogopa waliongeza ladha
lakini mbona wachukia ijapo haunijui
lakini mbona huniamini
beste amini amini
vile twabwaga Kiswahili wadhii wawili wawili
freshi kutoka Makini ka kawaida mbili mbili
vile yastahili
‘taendelea kuroga yeye na mimi
hii ni ya wadhii waliochizi kama sisi
kutoka Kisumu to Nairobi Mombasa twamalizia Malindi

Chorus (E-Sir)
coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

Verse 2 (Manga)
nikute VM
eight pm
nikisikiza nimefika by E-Sir DJ play for them
kama hamtujui log on smoothbrothers.com
Manga waambie kuchizi sisi hatu-need ndom
tumefika
tuta-change game maMCs watachanganyikiwa
lugha tamu kama maswali mamanzi wanauliza
na sisi ni kama nani unati kuwanyima
kama pesa ama deni tunawalipa
kama chakula tunawalisha mpaka washiba
kisha wakishamaliza ni viuno twashika na kukatika kabisa
tunawafungua kama cans tatu za Pilsner
tunawapa lugha mpaka wanasinzia
na nyumbani ndio tunamalizia
fungeni milango tumeshaingia

Chorus (E-Sir)
coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

Verse 3 (E-Sir)
nawagonga asubuhi kisha nawagonga mchana
nawagonga jioni kwa mikrofoni ya millioni
ni E-Sir
kumamaye pewa mbili kwenye kichwa
nani yuasema kwangu shahizi ni shida
nipe kalamu na kitabu nizibwage bila tabu bila sababu kama mtoto mbaya nifundishe hii game wa adabu
twavuna twaacha wengine wametuna wafikiri ni utani
uliza Manga na Habibi Kiswa
Pili kwa wingi mamanzi hawashindi ndugu wenzangu
nawaambia hizi lyrics nilianza tangu
mikono juu ya hewa bariki karamu
wapende wasipende sisi sote damu
kwa sababu
kama ni pesa sote jaribu kupata
kama mamanzi, mamanzi tumewanasa
town to town, Nairobi to Namanga
coast to coast Kisumu to Mombasa
unaweza kuwauliza ka wafikiri twadanganya
hiyo mikono yetu ndio watangatanga
watakuambia Amina
na Tanya

vile kakilo tatu za giza E-Sir yuabamba
twabamba vile kakilo tatu za gomba pirates wabamba

Chorus (E-Sir)
coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

You cannot copy content of this page