Wadosi & Jaguar – Hauwezi Shine Lyrics

Chorus
hauwezi shine ka mi
zi chali mi ni m-real wee ni m-not
hard ka mi
let’s keep it real what the deal
ebu do your biz mi ni-stick to mine
right, right?

hauwezi shine ka mi
zi chali mi ni m-real wee ni m-not
hard ka mi
let’s keep it real what the deal
ebu do your biz mi ni-stick to mine
right, right?

Verse 1
check ma-shorty wangu wana-shine kama dhahabu
wee ni msoto msoto huwezi nunua hata kiatu
tai tu… ni ya my son too
mtam-check tu hivi soon
hauwezi shine linganisha tu truck na cruiser
kulala na kukufa
kufunga na kufungua
akitumia mavoodoo bali ni nguvu kutoka kwa Mwenyezi Mungu
kufia mbali na zako machungu wewe
Wadosi na Jaguar mapozi kijiji
cheki upande mwingine wengine na bikini
hii upande mwingine mi sijui ni mashabiki
niko juu kama mwewe
nacheck tu wewe
baby boo, come twende juu
tuwe shu tuki-sniper shu
kila siku kwetu ni siku kuu
hakuna kenye wanaeza do

Chorus
hauwezi shine ka mi
zi chali mi ni m-real wee ni m-not
hard ka mi
let’s keep it real what the deal
ebu do your biz mi ni-stick to mine
right, right?

hauwezi shine ka mi
zi chali mi ni m-real wee ni m-not
hard ka mi
let’s keep it real what the deal
ebu do your biz mi ni-stick to mine
right, right?

Verse 2 (Jaguar)
kama mosquito net
nishakushika neck
ona fala fulani anajiita senti hamsini
pamba zako far mfukoni, hauna any
wako nazo big names, na hawawezi maintain
hauwezi shine (no)
hauwezi rhyme (no)
hakuna time ya kushindana na mimi
usi-blame, usi-hate, ninavyoishi
leo niko Bangkok, na kesho New York
ni Jaguar wadosi jua, mi ndiye dosi
mi ni ka moshi na… sishikiki
hauwezi rhyme (no)
hauwezi shine (no)
hakuna time ya kushindana na mimi

Chorus
hauwezi shine ka mi
zi chali mi ni m-real wee ni m-not
hard ka mi
let’s keep it real what the deal
ebu do your biz mi ni-stick to mine
right, right?

hauwezi shine ka mi
zi chali mi ni m-real wee ni m-not
hard ka mi
let’s keep it real what the deal
ebu do your biz mi ni-stick to mine
right, right?

Verse 3
fani ni uwanja mpana najua nipo utosini
wangapi wanao-shine, wangapi walio gizani
hauwezi shine ka mi
ndani ya tatu-sita oh
nashusha mistari washikaji wabaki oh
ndio mchizi na kushangaa
hujui unachofanya unafuata yasiyokufaa
miaka mingi ndani ya fani chenye unafanya haionekani
hii mkwanja
mi naona wajiuzulu mshikaji tuwachie wajanja
tazama navyowini toka home hadi viwanja
na-rhyme na-make maganji matym nakula ganja
sina chuki na wenzangu nafanya mambo kivyangu
nitoe kinyume changu ndio upate vichapo vyangu
ndani ya track ya big boss ndio g nashusha dose
sijengi chuki venye si matajiri
venye si ni kikosi micharazo ndio mwanzo
mikwazo na mwisho wa mawazo

Chorus
hauwezi shine ka mi
zi chali mi ni m-real wee ni m-not
hard ka mi
let’s keep it real what the deal
ebu do your biz mi ni-stick to mine
right, right?

hauwezi shine ka mi
zi chali mi ni m-real wee ni m-not
hard ka mi
let’s keep it real what the deal
ebu do your biz mi ni-stick to mine
right, right?

You cannot copy content of this page