U.B – Uwongo Lyrics

Verse 1
saa zingine mi hukaa down nacheka sana
nacheka vile binadam hudangana
ati mbona umechelewa?
the same same reason traffic uwongo!
mwingine ako kwa bar kwa malagger lagger
simu inalia na anatoa akistagger stagger
ati ‘hello sweetie where are you?’
‘i’m in the office working late’ uwongo!
election year ile time ya campaighn
saa ile do ye humwaga kuwashower brain
ati vote for me ntajenga barabara
saa hiyo mi huskia tu kushout uwongo!
enyewe sisi huwanga na uwongo mbaya
especilly me and you we are a such liar
hii ngoma ni yangu hii ngoma ni yangu
hii ni ngoma ya wasee wanapendanga uwongo!

Chorus
semanga ukweli jo achana na uwongo
kila mahali wasee tu ni uwongo
kwani mi peke yangu ndio mi husema ukweli?
aaa! uwongo!
mbuyu, matha jo achana na uwongo
sista, bratha jo achana na uwongo
kwani mi peke yangu ndio mi husema ukweli?
aaa! uwongo!

Verse 2
manzi flani alikuwa anaplay hard to get
kabla nikuwe star alinibounce madate
siku hizi ameskia ati ub ni sonko
ako kwa simu ati amenimiss uwongo!
kukopa harusi kulipa matanga
mwingine alichukua deni ka hajajipanga
anakuja kudaiwa anatuma watoto
ati ‘daddy amesema hayuko’ uwongo!
saa zingine uwongo yo hubidi
unaulizwa na mtoi ati juala ni nini
unajaribu kumlenga na ye anainsist
chochote utasema itabidi tu uwongo
uwongo huwa ina different levels
just say the truth and ashame the devil
hii ngoma ni yangu hii ngoma ni yangu
hii ni ngoma ya wasee wanapendanga uwongo!

Chorus
semanga ukweli jo achana na uwongo
kila mahali wasee tu ni uwongo
kwani mi peke yangu ndio mi husema ukweli?
aaa! uwongo!
mbuyu, matha jo achana na uwongo
sista, bratha jo achana na uwongo
kwani mi peke yangu ndio mi husema ukweli?
aaa! uwongo!

Verse 3
ukiskia mkorogo wa kapuka ragga na banga
inafaa unachafua unaongeza tot unasamba
unashika dame karibu na unamkunja unamlamba
usimuache bumper to bumper
maboy masista doo basi ruka na hii
nairobi, kampala, bongo ruka na hii
hii ngoma ni yangu hii ngoma ni yangu
hii ni ngoma ya wasee wanapendanga uwongo!
mr.dj hapo sawa
play it on and on and on don’t let it stop
mr.dj hapo sawa
play it on and on and on don’t let it stop

Chorus
semanga ukweli jo achana na uwongo
kila mahali wasee tu ni uwongo
kwani mi peke yangu ndio mi husema ukweli?
aaa! uwongo!
mbuyu, matha jo achana na uwongo
sista, bratha jo achana na uwongo
kwani mi peke yangu ndio mi husema ukweli?
aaa! uwongo!

semanga ukweli jo achana na uwongo
kila mahali wasee tu ni uwongo
kwani mi peke yangu ndio mi husema ukweli?
aaa! uwongo!
mbuyu, matha jo achana na uwongo
sista, bratha jo achana na uwongo
kwani mi peke yangu ndio mi husema ukweli?
aaa! uwongo!

You cannot copy content of this page