Billy Frank – Pokea Sifax Lyrics

uinuliwe
ewe bwana
uinuliwe
ewe bwana

uabudiwe
ewe bwana
uabudiwe
ewe bwana

usujudiwe
ewe bwana
usujudiwe
ewe bwana

uheshimiwe
ewe bwana
uheshimiwe
ewe bwana

pokea sifa
ewe bwana
pokea sifa
ewe bwana

pokea
sifa zetu
pokea
sifa zetu

pokea
utukufu
pokea
utukufu

pokea
heshima zetu
pokea
heshima zetu

twakungojea
ewe bwana
na uwezo wako
utujaze

hatuwezi baba
bila wewe
twakuhitaji eeh
kila siku eeh

hatutoki hapa
kama huendi nasi eeh
pokea sifa
twaandaa

pokea
sifa zetu
pokea
sifa zetu

pokea
utukufu
pokea
utukufu

pokea
heshima zetu
pokea
heshima zetu

pokea
sifa zetu
pokea
sifa zetu

pokea
utukufu
pokea
utukufu

You cannot copy content of this page