Bantu – Kama Umeokoka Lyrics

Chorus

Kama umeokoka kila mtu sema yeah, yeah 
Sema yeah, yeah
Mi niko yeah, yeaaaah

Kama umeokoka kila mtu sema yeah, yeah 
Sema yeah, yeah
Mi niko yeah, yeaaaah

Verse 1

Ni kidungush na pop once again kama popcorns
Poh poh nakam vi holy kama pope john
Ndani ya vatican mi nakuletea moto
Na ni moto ka gospel ya pentecostal
Juu ni wakati tukanyage hii ibilisi
Jinsi tunavyo mtandika mnajisi
Mi sikufichi si ibilisi ni mwizi
Kwani hujui wokovu ni mission sikuizi
Upuzi futaa kwa akili weka kwa kibeti
Juu unajipa stress na zingine hazileti
Wee cheki hii nika mkulima na reki
Vitu zingine christ ye huaga hapendi
Niaje hujawahi kuskia story ya huyuu msee
Niaje mwenye alikuja kuokoa wasee
Niaje we mkubalii usimkemee
Na si shetani akikam si ashindwe, ashindwe
Sa skiza flow,skiza venye lines zina grow
Sa skiza flow,skiza venye lines zina flow
Na kama umebambika,na kama umejazika
Basi kama umeokoka kila mtu sema yeaaah

Chorus

Kama umeokoka kila mtu sema yeah, yeah 
Sema yeah, yeah
Mi niko yeah, yeaaaah

Kama umeokoka kila mtu sema yeah, yeah 
Sema yeah, yeah
Mi niko yeah, yeaaaah

Verse 2
Life ya msee nika gurudumu la tyre
After sometimes huaga joo lina expire
Vibaya sa huyu shetani ashagwaya
Vibaya we mkanyage usione hayaa
Life tunaishi wasee si ni e.G
Yani example yafaa tuwe na c.V
Coz christ mwenye tuna m serve is alive
Kama wale wasee wa five,ama
Ka umeoka kizee na uko fresh
Na ume chill bila stress i guess
Sipoa kutulia tuu home uki doze
Spread the message across alaa
Wee bounce kama uko free na madhambi
Bounce ka umeokoka na uko ndani
Bounce wee mchezee kizee usijali
Na shetani kaa mbal tafadhali
Unacheki hawa wasee nika wamechizi
Unacheki hawa wasee nika we are dissing
Hatuna ubaya boy Hatuna ubaya gal
Ni mwamba ndani yetu ametubamba tuko yeahhhh

Chorus

Kama umeokoka kila mtu sema yeah, yeah 
Sema yeah, yeah
Mi niko yeah, yeaaaah

Kama umeokoka kila mtu sema yeah, yeah 
Sema yeah, yeah
Mi niko yeah, yeaaaah

Kama umeokoka kila mtu sema yeah, yeah 
Sema yeah, yeah
Mi niko yeah, yeaaaah

Kama umeokoka kila mtu sema yeah, yeah 
Sema yeah, yeah
Mi niko yeah, yeaaaah

You cannot copy content of this page