Balozi wa Mtaa – 2010 Rap Up Lyrics

2010 Rap up _ Kay Junior
2010 imedie…..2011 inacome…..
Last year ilikuwa a good year
Sa skia all that uliskia
Summary ya kila kitu ya one year
Ilihappen that year yeah!
2010 Mzeiya!!!
Frasha Gabu na Boneye walienda hapa kule kutuonyesha wagenge hao ni wakare,
Video ilikua mzuka kila mtu alisare, Pia MTV yeah MTV, for a minute hapo walirule TV,
Kenya nataka kujua ni ka walisell cd, Na ka pia Godfather alisell cd,
Video zake zilikua na big ideas, Kirubi kwenye video hio ni big idea,
So tuvideo tudogo tunakataa hio, pia beef ndogo ndogo tunakataa hio,
Bugz wakazusha watu waliiba flow, swali ni Frash alisound lini ka VBO,
Mi naona Mapesa afocus tu kumake doh, juu mabro hukua juu kuna wasmall na wasoh,
Watu walienda Carni kulikua na face off, si ile ya safcom ilikua face off,
Strike one kisha Shots (yeah),Strike two Abbas akashika doggy,
Face Off crowd ililenga doggy, ikapanda bus juu iligonga doggy,
Naskia bado inaendelea hio ni good for HipHop, si ka Prezz na Jaguar hio beef iliflop,
Octo na Abbas haikuget worse, angalau underground iliget pass, ya media kidogo juu ilicover Octo,
At age ya Abbas kuroga hio ni NO NO,
Juu ya traxx mad watu waliget down, Proff akadata raia walibow down,
Controversy ni collabo ya Abbas Juliani, Lakini utajudge ka nani,
Crusade zikafllip kua concerts za Lingala, kila mtu aimbe gospel ka unataka dollar,
Praise Sir God na beat ya Kapungala, At the end of the day mziki na biashara,
Coupe de’Calle si dance pekee ni story ya chipo club za Cote d’Ivoire,
Lakini who cares si tulishinda MAMAs, pia hii beat iliskika MAMAs,
Avril na Marya walituchokoza, but Avril alizidi alizidi kuchokoza,
akaonyesha Kenya kenye mtoto wake atanyonya, Tunataka sextape picha zimetosha,
Watu walizusha nini mbaya na Esther, Arunga alichizi akachizi na Quincy,
Acha niache hio story juu haikuaffect mziki, Kenya Nite za Nonini zilifunga wiki,
Wakenya 2Gsupporty tuinue mziki , hio ndio ilikua motto ya mchizi wangu wa Tichi,
Video za Cartoon Network zilifanywa na Vicky, so Miaka ya Jua Cali ikarise kwa chart,
Live music Kidum alijenga bendi, haukufeel mziki ka haukuenda Rafikiz,
Watu walichizi na mtoto wa Burundi, alitukumbusha wanamziki wetu wa 60’s,
Mwaka umeisha na sijui kenye yo hufanya Ekko Dydda a stutter,
But as for me and my house Focus On Jesus ilifunga mwaka,
Nlikua na plot ya kudate size 8 ka Linet bt analike mashamba boy so nikaieliminate, Yeah!
Big up Amani kucollabo na R Kelly!!!!,
Bodyguard wa Raila akamanhandle Redsan, Angwenyi akazusha ni ka aliwant some,
Similarity ya Ocampo 6, Kapenguria 6 ni jina la Kenyatta,
Wikileaks ilileta noma, List ya madealer ilikua na rapper,
CMB pia ikavunjika, sa Prezz atapata wapi nguo zake za China,
Highlight ya TPF…haga ya Juliana, Davies alishinda bt Msechu angefaa,
Kenya nko sure ni Kdeng hataenda far,
Uganda nayo kuwife Harambee stars , walituchoresha tukakaa mafala,
Kenya finally ilibadilisha katiba, KCPE nayo kua trending topic twitter, tukajamisha Beiber,
Bamzigi grammar ilimuaibisha, Tony wa M.O.G wedding day hakungoja,
Pacho Ent si waliwakilisha, na Kiss Tv isicheze mavideo zimechapa,
Awards zirudi especially Kisima, Zain ama Airtel isibadilishe jina,
Na Premier League Gor Mahia itashinda,
Kenye imebaki ni Happy New Year Kenya!!!!

You cannot copy content of this page