Autopilots – Life kwa mtaa Lyrics

VERSE 1 LYRICS:
MC YOBBZ:
MC ni Yobbz na ana-get airplay
alafu nina congest hizi airwaves
ma hater MCs wakijaribu ku-get through
wanapata network busy
okay, gari ni Range Sport
kutoka show room it has just been bought
ndio uingie shopping umeiwacha parking lot
alafu kutoka, gari imetembea
ala, kwani ina miguu
kufika mtaani kaguu
naskia boy flani ameangushwa na karao mtaani
alafu ni for undisclossed reasons
ma-AP wanadai wanatuchunguza, wanajua wanajua uchungu wa mwana kuuguza
unashindwa wanachunguza nini, si hao wenyewe wanafaa kuwa wanajichunguza
vijana wa mtaa, day by day wanatupunguza
mimi nashangaa niaje wamepata story ya kuuza
moto ilikuwa ni utumishi kwa wote, lakini sasa
nikumaliza vijana wote
itakuaje tukimada the youth
na kutoka kwa ndio labour force inakuwa out-sourced ku-keep economy running
joblessness imekuwa on the rise
in some instances, ika contribute to uselessness
boy amekuwa mang’aa, utam-get base daily akivuruta chag’aa
degree ni ya masters, lakini anaji-waste kimaisha mnabaki mmeshagaa

CHORUS LYRICS:
Tunatoka hard life
tunatoka hard life, [life tunaishi]
life ni hard, survival only for the fittest
hii ni life kwa mtaa, [life tunaishi]
kama unai-feel hebu pumua kidogo
hebu pumua kidogo, kama unai-feel hebu pumua kidogo

VERSE 2 LYRICS:
KENZIE:
Ni 21st Century na hii ndio life ya siku hizi
uwizi imekuwa fashion ndio maana kuna commotion Kamiti
adiction ya uwizi mpaka wengine huji-pick pocket
mahitaji mingi, issues ziko unsorted
watu wanatumia brain game ndio wasisote
ndio atleast wapate kitu ya ku-dig deep into their pockets
kuishi kwa society yenye haina outbreak ya ma outlaws
mpaka ata huwezi ku-trust ma in-laws
society ime-change laws na morals, na ati sisi ndio ma-leaders wa tomorrow
tunaishi life na worries, ndio maana daily utatupata base tukichapa makali 
tukuwe autopilot alafu after hiyo, hatu-worry
MCs wanaishi in fantasy na ma-wishes mingi kama ****
wengine wanaenda kwa ma-witches, ndio atleast wapate fortune kwa world iko 
full na wishes
hatari za kisaikolojia, madem wana-suffer from penis envy
condition yenye inaleta uivu, inasababisha waanze kukodisha mwili
ndio wapate satisfaction, na ku-feed watu kwa population
imesemekana kwa kitabu ya Genesis
please Jesus Christ usifanye hii generation ikuwe ya last ju iko full na 
heracy
life ya ujambazi, wezi high class wanaji-disguise na mavazi
wana-appear kwako ka angel lakini ana-turn kuwa nyoka ya sumu
wale wanakaa inocent ndio wale sugu
toroka mse mbio kiu Usain Bolt ama wataku dhulumu
na kama unaelewa ujanja wa mbio brother toa hizo njumu
life imekuwa dead hill, kama wanyunyaji wa fegi za Dunhill
uvutaji sigara hudhuru watu waliokaribu nawe
ndio maana your best friend mwishowe wanakugonga na mawe

CHORUS LYRICS:
Tunatoka hard life
tunatoka hard life, [life tunaishi]
life ni hard, survival only for the fittest
hii ni life kwa mtaa, [life tunaishi]
kama unai-feel hebu pumua kidogo
hebu pumua kidogo, kama unai-feel hebu pumua kidogo

VERSE 3 LYRICS:
LOSH:
Losh mi hurauka ngware, nabambika ju life ni sare
na-thank Almighty aleast mi si maiti
sijapelekwa madhare, mi ni msanii na ninangoja hii sanaa i-pay< br style="color: #555555" />tunaishi ni kama Yesu Alienda na keys za uokovu
vijana idle mtaani wanakula mughoka na big G wakisikiza B.I.G
wengine wana-drive ma Hummer, kumbe ma land grabber
wanatepa culture si tukidandia manganya
wanangoja election time wa-come kutudanganya
ni ka mchezo wa paka na panya, mda umewadia na si tutapiga kura
kutojali ulikoenda kula na pia kulala
wakituona tuko area wanadhani si bacteria
mtaani tuko-jobless ma-boy wanakunywa mob na hawa-worry
ma-side effects, watoi bila wazazi aengine bila makazi
nashangaa nani kashindwa na kazi
mchana watoto wazuri, usiku wapate K-street
wanavumilia kuwa citizens wa hii nation
all the time kwao Koinange
wana-watch soap opera wakidhani in the name of love watapata the promise
gava imetutupa kama flying toilet kibera
watu wako na uasama, wanamalizana kama Osama
dream ya kila youth ni kupata light at some point
aende majuu na arudi back ka ame-add some weight
nime-come kuleta hii necessary noise
ndio ni-open up your ears tuwache kuishi kwa hole
tufungue macho tuwache kuwa vipofu, ushaskia

CHORUS LYRICS:
Tunatoka hard life
tunatoka hard life, [life tunaishi]
life ni hard, survival only for the fittest
hii ni life kwa mtaa, [life tunaishi]
kama unai-feel hebu pumua kidogo
hebu pumua kidogo, kama unai-feel hebu pumua kidogo

You cannot copy content of this page