Autopilots -Aje Tena Lyrics

Intro:
Mc Yobbz….
Autopilots…..
Beat ya Zuze…
Skiza….Skiza….

Verse 1 ( Mc Yobbz)
Nikiwa sober siko rada ulevini niko rada;(aje tena)
Ati ulipass hiyo exam na vile we ni danda;(aje tena)
Unasema umetulia na kumbe wewe ni pang’ang’a;(aje tena)
Unadhani we ni mtoi wa Otieno na  na we ni mtoi wa Ng’ang’a;(aje tena)
Ati umeishia majuu na kumbe umeishia rehab;(aje tena)
Unadai unajua life ya ghetto na ulizaliwa surburbs;(aje tena)
Kwa phone si I had credo ya soh na sa imebaki one bab;(aje tena)
We blindbeggar kwa street na unaweza ona ukiibiwa;(aje tena)
Ati  jamaa impotent dem anadai ana ball yake;(aje tena)
Msee anaona ametoka teke na anatembea haraka;(aje tena)
Ati mimi ni kiwete na naexpect kuruka mwaka(aje tena)
Baada ya kuosha nguo unaziwipe maji zikauke
(AJE TENA!!Laughter!!! Autopilots msee!!)

Chorus (Cynthia)
Hii wimbo, ina utamu niaje tena niaje tena *2

 Verse 2 (Mc Kenzie)
Mwaka ni 2011;
Resolutions ni kibao mpaka naingiza njeve; (aje tena)
First of all;
Ni quit drinks ju ya Mututho;
Ni substitute na veve; (aje tena)
Nitop up na mzuka;
Upate Mc Kenzie mambo mbaya; (aje tena)
Mavazi simple;
Hakuna kuchange venye mi hudunga ndo nipendwe na wasupa; (aje tena)
Ah!!Ju inalingana na lugha;
Na mi wananipenda tu na sijawai dunga supra; (aje tena)
Ju ya hiyo stori;
Niaje shawty anadai ananipenda na ananiringia kwa kitanda; (aje tena)
Narudi uwanjani kusaka;
Najua nitapata;
Hata ka ni manzi yako nitakurusha;
Samahani;
After nine months hivi;
Atakuwa anaambiwa apush Pumwani.

Chorus.

Verse 3( LoshMzuka)
Mr Losh this time mi nashindwa; (aje tena)
Ni Monday asubuhi na niko kwa jam; (aje tena)
Na huyu msee wa mathree ashani-oververlap; ( aje tena)
Kidogo nyuma ndai next imeni-scratch; (aje tena)
Na karao ashadai kitu kidogo; (aje tena)
Ni mwezi kona na still niko msoto; ( aje tena)
Nyumbani nina shida na mama watoto; (aje tena)
Napitia shida hadi nadhani ni ndoto; (aje tena)
Watoto wamefuzwa shule sababu ya karo; (aje tena)
Na pesa ya karo nilitumia na mpango wa kando; (aje tena)
Hii weekend manze nili-overspend; (aje tena)
Nikasahau hadi sijalipa rent; (aje tena)
Na nikichujwa  kwani nitaishi kwa tent; (aje tena)
Mfukoni sina hata single cent; (aje tena)
Niliacha nime-buy-ia dem Black ice; (aje tena)
Kuamka kwangu home nina black eyes;
Bridge (cynthia)
Ulivyo tarajia ikawa si hivyo
Uliyoyaskia yanakushangaza
Swali inabaki…..niaje tena niaje tena
(Autopilots)
Unadhani ni vile
Kumbe ndivyo vingine
Kama sio vingine
Haiwezi kuwa vile*2

Chorus *2 (cynthia)

Outro
Na hii ni ile ngoma…aje tena
Autopilots feat Cynthia
Na bado mnaulizaa ni aje tena

You cannot copy content of this page