Angel & Mr. Boo – Sugua sugua Lyrics

Nitakase, nitakase nitakase
Nitakase, nitakase nitakase

CHORUS LYRICS:
Baba sugua, sugua, sugua kila kitu niwe safi
Baba sugua, sugua, nafsi yangu nakutamani
Baba sugua, sugua, sugua kila kitu maishani
Baba sugua, sugaua, nafsi yangu inakutamani

VERSE 1 LYRICS:
Mi nataka sasa Baba niwe kama Wewe
mienendo yangu maishani sasa niwe kama Wewe
lakini shetani na kichwa yake haitulii
Baba mimi ninaomba leo
unisugue kila sector ya maisha
Heh, mi nasema nakupenda
nitakuita Baba We Baba We

CHORUS LYRICS:
Baba sugua, sugua, sugua kila kitu niwe safi
Baba sugua, sugua, nafsi yangu nakutamani
Baba sugua, sugua, sugua kila kitu maishani
Baba sugua, sugaua, nafsi yangu inakutamani

VERSE 2 LYRICS:
Nitakase niwe safi, kwa Macho Zako nistahili
nitakase niwe safi, niepushe na dhambi
najua sasa Baba niko safi, najua sasa Baba nimeng’aa
najua sasa nitaishi vema, kwa watu Wako Baba niwe kioo

CHORUS LYRICS:
Baba sugua, sugua, sugua kila kitu niwe safi
Baba sugua, sugua, nafsi yangu nakutamani
Baba sugua, sugua, sugua kila kitu maishani
Baba sugua, sugaua, nafsi yangu inakutamani

VERSE 3 LYRICS:
Sugua maisha yangu, sugua mali yangu
sugua ndoa yangu, sugua nyumba yangu
sugua, Baba najua Wewe Unaweza
kusugua hadi nchi yetu, kusugua hadi watu wetu
hapa nchi tumelia sana, Baba sugua sugua sugua sugua

CHORUS LYRICS:
Baba sugua, sugua, sugua kila kitu liwe safi
Baba sugua, sugua, nafsi yangu nakutamani
Baba sugua, sugua, sugua kila kitu maishani
Baba sugua, sugaua, nafsi yangu inakutamani

Nafsi yangu inakutamani
Nafsi yangu inakutamani
Nafsi yangu inakutamani
Nafsi yangu inakutamani

VERSE 4 LYRICS:
Kamba kimefika, walisema umeshindwa, ona sasa

Kamba kimefika, walisema wewe tasa, ona sasa

Kamba kimefika, walisema hutasoma, ona sasa

Kamba kimefika, walisema hutaweza, ona sasa

Kamba kimefika, walisema wewe bure, ona sasa

Kamba kimefika
Kamba kimefika
Kamba kimefika

You cannot copy content of this page