Andy Mburu – Ananijali Lyrics

Andy Mburu – Ananijali Lyrics

Nimeomba,
Tena sio mara moja,
Kwa roho na kwa kweli,
Mbali sijapata,
Majibu yangu kuyaona,
Nimeomba,
Tena sio mara moja,
Kwa roho na kwa kweli,
Mbali sijapata,
Majibu yangu kuyaona,
Adui,shetani mwongo,
Asema ya kwamba mwenyezi mungu yeye hanijali,
Mbali,siwezi sitomkubali,
Niyayo hakikisho, ya kweli ninajua,

Ananijali, 
Ananijali,
Sitokubali,kuzama kwenye maji,
Ananipenda
Yeye ni mwema aaaaaaaaah

Ni za dunia,
zangu hizi shida,
Hanitanizuia kukutumikia,
Nitafuata mimi hiyo njia,ya kweli na uzima,
Kwani,ulisema yote yamekwisha,
Sitababaishwa,
Ninajua yatapita,
Kwani,baada ya usiku giza,
Ninayo hakikisho,asubuhi itafika,

Ananijali, 
Ananijali,
Sitokubali,kuzama kwenye maji,
Ananipenda,
Yeye ni mwema aaaaaaaaah
Oh oh oh oooooh

Adui,shetani mwongo,
Asema ya kwamba mwenyezi mungu yeye hanijali,
Mbali ulisema yote yamekwisha, 
Sitababaishwa,
Ninajua yatapita,

Ananijali, 
Ananijali,
Sitokubali,kuzama kwenye maji
Ananipenda
Yeye ni mwema aaaaaaaaah
Ooh Yeah

Ananijali 
Ananijali
Sitokubali,kuzama kwenye maji
Ananipenda
Yeye ni mwema aaaaaaaaaaaah
Yeh

Ananijali 
Ananijali
Sitokubali
Kuzama kwenye maji
Ananipenda
Yeye ni mwema aaaaaaaaaah
Yeh aaah yeh 
Yeih yeih yeih yeih yeih
Yeh yeh yeh
Yeh yeh yeh yeh
Ooh yeih yeih yeih yeh
Yeh yeh yeh yeh

You cannot copy content of this page