Andre ft. Bobby Mapesa – Bakora Lyrics

Andre ft. Bobby Mapesa – Bakora Lyrics

Intro (Bobby Mapesa)
yeah…
Andre amerudi tena
featuring Bobby
wa Bugz
Jesse
hii bakora
na, hii bakora
mnaipenda hii bakora
I hope mtaipenda hii bakora
mtaipenda hii bakora
Andre anaipenda hii bakora

Verse 1 (Andre)
unataka bakora
then choose me ma
ntakupa yote 
bila kupima
mali popote ata ndani ya Beemer
hii bakora huenda nayo kila sehem
nami hutumia sana kuchapana madame
uliza Aisha na Tasha hata Jane
hii bakora kila siku huwa nai-blame
iko fame zaidi ya Moi au Kibaki
hii bakora kweli mambo yake safi
ikikuchapa mwenyewe utasema basi
ninatoa offer ya maji ya nanasi
inafunza fundish yote kudansi
come baby nikupangie mikakati

Chorus (Bobby Mapesa)
unaipenda hii bakora
unaitaka hii bakora
unaipenda hii bakora
unaipenda

ntakuchapa wewe
na hii bakora
ntakuweka wewe
na hii bakora
ntaku… wewe
na hii bakora
utaipenda

ntakuchapa wewe
na hii bakora
ntakuweka wewe
na hii bakora
ntaku… wewe
na hii bakora
utaipenda

Verse 2 (Andre)
inama inuka juu
shuka na mdundo huu
pick it up pick it up shorty easy
usi-sweat sana mwili uteleze
mimi utatize
nikaruse nipanguza na lako shoesy
you look sexy ukivaa thong ya Gucci
napenda unavyovaa
napenda unavyokaa
ukizungusha
lako bambataa
hata bakora la Ole Ntimama
curious serious linasimama
inasimama straight kama cucumber
all night all right bakora iko tight
hold on kwanza ipe appetite
namna huu yo
ikufunze course
taratibu mami
mpaka uguze toes
easy na kazi hakuna ku-feel dizzy
bakora ichape kazi mami mpaka alfajiri

Chorus (Bobby Mapesa)
unaipenda hii bakora
unaitaka hii bakora
unaipenda hii bakora
unaipenda

ntakuchapa wewe
na hii bakora
ntakuweka wewe
na hii bakora
ntaku… wewe
na hii bakora
utaipenda

ntakuchapa wewe
na hii bakora
ntakuweka wewe
na hii bakora
ntaku… wewe
na hii bakora
utaipenda

Verse 3 (Bobby Mapesa)
hii bakora
na hii bakora
mnaipenda hii bakora
I hope mtaipenda hii bakora
mtaipenda hii bakora
Andre anaipenda hii bakora
Bobby hii bakora
Jesse anaipenda hii bakora
anaipenda hii bakora
VBO anaipenda hii bakora
na sisi sote twaipenda hii bakora

Chorus (Bobby Mapesa)
unaipenda hii bakora
unaitaka hii bakora
unaipenda hii bakora
unaipenda

ntakuchapa wewe
na hii bakora
ntakuweka wewe
na hii bakora
ntaku… wewe
na hii bakora
utaipenda

ntakuchapa wewe
na hii bakora
ntakuweka wewe
na hii bakora
ntaku… wewe
na hii bakora
utaipenda

You cannot copy content of this page