Amani ft. Nyashinski – Bad Boy Lyrics

Amani ft. Nyashinski – Bad Boy Lyrics

Verse 1 (Amani)
njaro zako, 
tayari nimekanywa
penzi lako, 
naambiwa ni balaa
nami bado,
siwezi kukuwacha
nifanyeje
na roho ishapenda

Bridge (Amani)
oh
nakuwaza
oh
nakutaka
no
but my baby 
you are such a bad boy

oh
nakuwaza
oh
nakutaka
no
but my baby 
you are such a bad boy

Chorus (Nyashinski)
najua unaipenda
unaitaka pia
naeza tell na design unaiangalia
sio makosa yako
I am falling for the bad boy
(Amani)
najua unaipenda
unaitaka
naeza tell na design unaiangalia
si makosa yangu
I am falling for the bad boy

Verse 2 (Amani)
sura yako
nabaki fikirani
busu lako
siwezi kuilenga
nami bado
siuoni ubaya wako
nifanyeje 
na roho ishapenda

Bridge (Amani)
oh
nakuwaza
oh
nakutaka
no
but my baby 
you are such a bad boy

oh
nakuwaza
oh
nakutaka
no
but my baby 
you are such a bad boy

Chorus (Nyashinski)
najua unaipenda
unaitaka pia
naeza tell na design unaiangalia
sio makosa yako
I am falling for the bad boy
(Amani)
najua unaipenda
unaitaka
naeza tell na design unaiangalia
si makosa yangu
I am falling for the bad boy

Verse 3 (Nyashinski)
first of all ni obvious
Nyashinski juu ya mic
unajua vocals ni oh so glorious
na ni popular
lakini juu ya meza kuna issue moja biggy ka Notorious
Dame mzuri amenoki chali ni jangili
lakini chali haezi kubali juu ya nini
oh
akikubali watasema amekuwa soft
ka sponge
haiwezekani
so ana-do nini
anafikiria kwanza
situation tricky nani
mtaani nina respect fiti mami
ukikubali wataniuliza vipi wadhii

Bridge (Amani)
oh
nakuwaza
oh
nakutaka
no
but my baby 
you are such a bad boy

oh
nakuwaza< /span>
oh
nakutaka
no
but my baby 
you are such a bad boy

Chorus (Nyashinski)
najua unaipenda
unaitaka pia
naeza tell na design unaiangalia
sio makosa yako
I am falling for the bad boy
(Amani)
najua unaipenda
unaitaka
naeza tell na design unaiangalia
si makosa yangu
I am falling for the bad boy

You cannot copy content of this page