Blackfella – Aliye Juu Lyrics

Inro.
Yeahhhh yeahhh
Yeahhhh Yeahhh
Ufuoni Music

Chorus

Aliye juu,mngoje chini
Brother men sister duu, Wee tuamini
Ipo siku ina come,piga moyo konde
uskonde, uskonde
Kijiweni , tushachoka
Mighty jah ata, ng’arisha nyota
Haijalishi nini una doo, we tuamini
We tuamini , Wee tuaaaamiiiniiiii…

Verse 1.
Kwanza
Nimekaa nikawaza, Wapi nitaanza
Am an ordinary youth,Ikibidi sina mkwanja
So much expectations,Macho yanitazama
Bado nataka nasaka, Ingawa sijapata
Kila corner lawama, wahuni na mambang’a
Madawa mpanga, Hayaishi tena masanga
Dau la mtaa lazama, Iko ivo toka zama
Nishakaza kamba, Nasonga tena sana
Nyota ishaangaza, kenya mpaka gaza
Nashika tena kipaza, Ma fake nawaduaza
Bongo liko active, Atawakati nime lala
na Sketch ma plot, Ataka nimecharara
Na Flip techniques, Naku whip ma snitch
Naanguka kwa beat, Kichizi nazidi spit
Zaidi ya mgema, Hii fani naikwea
Bado natema, Kwa mlango naweka Gwena
Mradi nahema, Jah ashaa bless
Tena na tena, Simjali anaesema

Chorus

Verse 2
Life ni reali, Si story ya maskani
That’s why na struggle, na hustle kwa kila hali
Milima ata mabonde, Nuru ata gizani
Life ni ya ki thug, Hawatujali ata jirani
Ukijjtoka ametoka, Ukiingia ameingia
Ndio ziko top kwa chat, Kila mahali
Iwe inje ama ndani, Ndio maana sijali
Ki hardstone nakunja sura , mbele ya juakali
Route 11 juu ya ndula, Juu sinanga ata gari
Kidingi ama ordinari, Life bado ni Ghali
Inanibidi ikinizidi, Kuishi kama gaidi
Kushika mbili mbili, Kuwamimina makafiri
Kiite kisomo, Nimekisoma Ona
Nazidi songa, Step boarder to boader
Ma wannabe MC’s, Mtakiona
Chuma chenu kimotoni, Kichapo kinawangoja
Shenztype

Chorus

Bridge (leon)
Panda shuka, mi nsijali
Pambazuka hio hali ,Minajua itakuja isayyy
Haijalishi situation, Sisi tunajenga nation
Itang’ara nyota yetu one day
Some day, (siku moja tu)someday
Some day (yap)

Verse3
Siku moja tuu, ndio tunayo tegea
siku moja tuu, Ndio tunayo ngojea
Wataenda wataregea, Si twazidi sogea
Tunazidi bobea, Tunafoka foka
Mistari pokea, Mombasa mombasa Tuimarishe mambo sasa!

Outro
Yessssss
Asante sana leon
Blackfella hapa.!

Chorus x2

You cannot copy content of this page