Alice Kamande – Wewe Pekee Lyrics

Verse 1
nafungua kinywa changu
nikusifu Baba
Mkuu umenitendea
nimefika sasa hapa
wewe kweli ni rafiki
unaniongoza ninapopotea
upendo wako niufananishe na nani
Baba

taabu nyingi kweli nilipitia(hadi nikajipata nikikushuku)
sikujua mpango wako kwangu(Baba)
ulijua yote nikiyapitia
mkono wako ulikuwa umenishikilia
nisianguke
wewe kimbilio langu

Chorus
hakuna mwingine
ni wewe pekee yako
mbele hata nyuma
ni wewe pekee

hakuna mwingine
ni wewe pekee yako
mbele hata nyuma
ni wewe pekee

Verse 2
tafuta tafuta
hutampata kama yeye
alinitoa toka tope
la dhambi
kama sitaona haya
ya kumsifu Mungu wangu
siku zote nitamwimbia
Baba

taabu nyingi kweli nilipitia(hadi nikajipata nikikushuku)
sikujua mpango wako kwangu(Baba)
ulijua yote nikiyapitia
mkono wako ulikuwa umenishikilia
nisianguke
wewe kimbilio langu

Chorus
hakuna mwingine
ni wewe pekee yako
mbele hata nyuma
ni wewe pekee

hakuna mwingine
ni wewe pekee yako
mbele hata nyuma
ni wewe pekee

You cannot copy content of this page