Ala C & Kendi – Kuwa na Wewe Lyrics

Chorus
nikikumbuka kule wewe umenitoa
there are tears in my eyes
staki kurudi nyuma
nataka tu kuwa na wewe
 
juu nishakupata wewe
sioni mwingine
juu nishakupata wewe
 
Verse 1 (Ala C)
nilikuwa mi nalia nilikuwa nimefadhaika wee
I don’t want that anymore
nilikuwa mi mpweke kwa nini mi niteseke
no more
walisema kuwa nimetupa mbao
walizidi, kunidharau
 
hao, hao, hao
sikuwaskiza
zao, zao, zao
hazikunitisha
 
Chorus
nikikumbuka kule wewe umenitoa
there are tears in my eyes
staki kurudi nyuma
nataka tu kuwa na wewe
 
juu nishakupata wewe
sioni mwingine
juu nishakupata wewe
 
Verse 2 (Kendi)
nataka kuwa nawe
nataka kuwa nawe milele
 
nataka kuwa nawe
nataka kuwa nawe milele
 
Chorus
nikikumbuka kule wewe umenitoa
there are tears in my eyes
staki kurudi nyuma
nataka tu kuwa na wewe
 
juu nishakupata wewe
sioni mwingine
juu nishakupata wewe
 
Verse 3
umenibadilisha, umenitoa mbali wee
no fear anymore
umenipanguza machozi ukanifanya mi wako
I know sasa niko huru nimepata nuru
nitazidi, kukushukuru
 
milele, milele, milele
niishi nawe
wewe, wewe, wewe
nimpendaye
 
Chorus
nikikumbuka kule wewe umenitoa
there are tears in my eyes
staki kurudi nyuma
nataka tu kuwa na wewe
 
juu nishakupata wewe
sioni mwingine
juu nishakupata wewe

You cannot copy content of this page