Akasha – Asipite Lyrics

Verse 1
niki-feel beat kwa club naskia ku-bounce
leo niko high jo mi nadhani napaa
siwezi toka nunge vile usiku inakaa
mabinti wako kote mazee kama ngata
wameng’aa, slowly mi nacheki bidhaa
macho left right tayari nishaweka kifaa
nam-approach na kum-show niaje mama
nimekuona vile umevaa, usione balaa
niko home, uko far ndio ushanivutia
na-blush na ku-smile jicho ashanifinyia
alafu anihemesha kiuno akilegeza
meza ice na Pilsner nazidi kuagiza
ingiza, mi nacheki gauge inanikimbiza
tuna-stagger pamoja hadi pale kwa giza
kuna nduru gizani, bouncer ashaziskia
anakula mia, dame anakaribia

Chorus
ukimcheki kwa mtaa, usiwache apite
ukiwa kwenye mat, mazee lugha mtupie
ukiwa kwenye club, lazima uwakilishe
mshike, mskize, kisha mtosheleze

ukimcheki kwa mtaa, usiwache apite
ukiwa kwenye mat, mazee lugha mtupie
ukiwa kwenye club, lazima uwakilishe
mshike, mskize, kisha mtosheleze

Verse 2
usijali, hadi wa swara ama gwara
bora, anapendeza umbo poa
na-step kwa huyu dame ameketi kwa korna
dreadlocks, yaani ni wa Jah Rastafari
ashani-introduce, kwa jina ni Kara
mi kutoa nare ye anatoa kishada
tunashika puffs, niki-caress maata
mahaga, anawika kama kinanda
na sasa, temperature kwa club imepanda
zinani-show mi nivue hadi mapamba
navuka round, walai jo imebamba
lazima niwashike, niwashike kinyama
huyu binti kwa loo ashaniingiza
wanati bila shaka mi nishawaumiza
kwa wall, mbio Akasha mi namkimbiza
mwito nichape idoze, kesi baadaye

Chorus
ukimcheki kwa mtaa, usiwache apite
ukiwa kwenye mat, mazee lugha mtupie
ukiwa kwenye club, lazima uwakilishe
mshike, mskize, kisha mtosheleze

ukimcheki kwa mtaa, usiwache apite
ukiwa kwenye mat, mazee lugha mtupie
ukiwa kwenye club, lazima uwakilishe
mshike, mskize, kisha mtosheleze

Verse 3
mi na-like women jo siwezi tosheka
wakiwa close to me mi siwezi boeka
nimecheki wa last aki-shake money maker
mi nitamteka kejani ntampeleka
weka mpaka kisha atatosheka
nacheka nikim-approach akibanjuka
miti, nam-assure vile iko super
ashaingia box tuna-dance tu kapuka
wakoka, kwenye korna wamekauka
wajanja, kwenye floor tumezitoka
4 o’ clock tushatoka
tunaelekea home kuchafua tu mashuka
dame anawika akiumwa tu na nyoka
mi nimeshtuka nilidanganywa na makeup
anakaa Robert Mugabe bila makeup
lakini sijali nishafunga hizo joystick

Chorus
ukimcheki kwa mtaa, usiwache apite
ukiwa kwenye mat, mazee lugha mtupie
ukiwa kwenye club, lazima uwakilishe
mshike, mskize, kisha mtosheleze

ukimcheki kwa mtaa, usiwache apite
ukiwa kwenye mat, mazee lugha mtupie
ukiwa kwenye club, lazima uwakilishe
mshike, mskize, kisha mtosheleze

You cannot copy content of this page