Abeddy Ngosso & Sarah Kiarie – Mimi Siyawezi Lyrics

Chorus
Yesu ndiye msaada wangu wa karibu
Kwa yote n’nayo pitia
Maana mimi siyawezi, haya yote
Ni wewe uyawezaye

Verse 1
Mungu wangu nifungulie milango ya mbinguni
Kwa yote ninayopitia, Ni wewe uyawezaye
Shida zangu zimejuwa nyingi
Ninakuita ni wewe

Chorus
Yesu ndiye msaada wangu wa karibu
Kwa yote n’nayo pitia
Maana mimi siyawezi, haya yote
Ni wewe uyawezaye

Verse 2
Wewe ndiwe unayebariki na tena unaponya
Mlinzi mwema utulindaye, Na wewe tu unafariji
Wewe ndiwe wa uzima milele twakuhitaji

Chorus
Yesu ndiye msaada wangu wa karibu
Kwa yote n’nayo pitia
Maana mimi siyawezi, haya yote
Ni wewe uyawezaye

Verse 3
Yesu wangu nakuita njoo ndani ya moyo wangu
UNibariki unifariiji,Maana nimevunjkia
Sina mwingine aniwezaye, Ila wewe wanitosha

Chorus
Yesu ndiye msaada wangu wa karibu
Kwa yote n’nayo pitia
Maana mimi siyawezi, haya yote
Ni wewe uyawezaye

Verse 4
Hakuna aliye kama yesu maana yeye anatenda
NI wewe uyawezaye…

Baba tunakuhitaji kila wakati
Maana hatuwezia bila wewe
Unaotutendea ni makuu mno
Asante kwa sababu utakuwa pamoja nasi haleluya

You cannot copy content of this page