Abbas Kubaff & Juliani – Nipe Makofi Lyrics

Chorus(Juliani)
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi

nasema wewe na wewe…
nasema…

Verse 1(Juliani)
hii ni ya breakdancing
usi-tuck in t-shirts kickers
ume-sag jeans umebeba placards
tetea haki maMP hatuwaoni
kama chozi ya samaki
imagine
parliament kuna bills
booming
ka biz ya bullet proof Iraq hai-last 
haina future, futile
kibogoyo atafanyia nini mfupa
shule si hii ni better, hii ni failure
Mercedes E ni greater, C ni lesser
niamini makanika, ama headmaster
hizi jobless degree nalenga the latter
Canaan, ngumu kukam
suluhisho
ku-get high na get low
magoti kwa floor

Chorus(Juliani)
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
ka umechoka na kuchoka, nipe

nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema we-we…

Verse 2(Abbas Kubaff)
Haiti, watu waliuwa Wahaiti
picha kila mali ni miili ya maiti
kama uko hai wee shukuru tu almighty
hamjui ni saa ngapi na
mko na ma-Breitlings
bombs wanaangusha si walitengeza Beijing
Illuminati mpaka kwenye cover yake Jay Z
tunajua wale wanakuwanga ma-racist
ma-rap*st Babylon huwanga ma-atheist
tap vichwa zao na kuweka kwenye matrix
forensics hiyo wanaita hypnosis
madawa wamepewa inawapa psychosis
tuberculosis
spit makamasi
tonsils zao ziko mpaka ndani ya nostrils
the next extinct animal si ni ostrich
wanaua wanyama ndio wapate noti
wanakata kata miti ndio wapate moshi

Chorus(Juliani)
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
ka umechoka na kuchoka, nipe

nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema we-we…

Verse 3(Abbas Kubaff)
roundi hii yaani nimekam na Juliani
utadhania tsunami ime-land duniani
tuwa-wash ka sabuni wawe safi yaani
roho safi gota basi wacha nuks nani
msanii ni msanii yaani ni MC
na wengine wata-run kama DMC
juu dunia iko state ya emergency
suluhisho inafaa kuletwa urgently
modestly, lakini most importantly
tunafaa kuelimisha watu honestly
hii ni maandiko iko kwenye prophecy
zitatokea wee upende usipende chief

(Juliani)
Abbas tume-complain sana
ku-blame vision na tumevaa stunners
za black
in fact
mjeshi aki-drive Passat
havotii mandate
pia sisi ka opposition ya Obama tuichape maCain
mara ngapi tumevaosha madame
kuvuna penye hatujapanda zote si same
ni ka pitch ya the real transformer
the real transformer
diamonds are forever
mwenye diamond na mwenye forever nikaongea na yeye
nisiingize maji ka
paper mache

Chorus(Juliani)

nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
ka umechoka na kuchoka, nipe

nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema wewe na wewe nipe makofi
nasema we-we…

You cannot copy content of this page