Abbas Kubaff, Chiwawa & Maleek  –  2050 Lyrics

Abbas Kubaff, Chiwawa & Maleek – 2050 Lyrics


Intro (Abbas Kubaff)

Chiwawa, Maleek, K South, Abbas Abbas is back
at the back stage
Tsharzi twende kazi
niaje niaje, 
niaje niaje….

Chorus
mi natafuta
kadame 
kaflani
kakamu
kaketi
kapewe
ni eh-eh
na nitafute
kijana
na pesa 
na nyumba
na gari 
na ye pia eh-eh-ehee
bas kuja shorty
pewa shoti
moja mbili kadhaa tulewe sote
bas kuja shorty
pewa shoti
moja mbili kadhaa tulewe sote

Verse 1 (Maleek)
OK
whose touched down
it’s your boy 
its the flow 
and I’m back around town
skiza
sijui ka niji-introduce
juu flow yenyewe balaa 
I don’t see the use
chaguo la teeniez 
chaguo la nini
chaguo ni huu usanii 
juu ya beats za Tsharzi
na msione ka Maleek anacheza 
pete yenyewe yang’aa mpaka inafukuza giza
niko katika pilka pilka
ya kupewa Pilsner tisa 
kisha nibebe dame na kisha
si hii flow inatisha
wacha ni-pose, paparazzi wapige picha
top five debe walai sitawaficha
top five debe walai si ni lazima
kila verse kila flow inaundwa na bidii
hawa maMC hawataweza niwaki-yeah!

Chorus
mi natafuta
kadame 
kaflani
kakamu
kaketi
kapewe
ni eh-eh
na nitafute
kijana
na pesa 
na nyumba
na gari 
na ye pia eh-eh-ehee
bas kuja shorty
pewa shoti
moja mbili kadhaa tulewe sote
bas kuja shorty
pewa shoti
moja mbili kadhaa tulewe sote

Verse 2 (Abbas Kubaff)
mi nataka nikamate
hizi mikate
wakange matope-e
niwachape
wote wajikate-e
wakija kunitafuta wasinipate-e
wanihate
ama niwakatekate-e
style ya karate
wateme mate kwenye shati-i
ziwe dirty
nguo zichafuke-e
ziraruke
yani usumbuke-e
ukumbuke
K-South ikidedi itabidi nifufuke-e
na nilipuke-e 
kama bunduki…
niaje niaje
kama bunduki

Chorus
mi natafuta
kadame 
kaflani
kakamu
kaketi
kapewe
ni eh-eh
na nitafute
kijana
na pesa 
na nyumba
na gari 
na ye pia eh-eh-ehee
bas kuja shorty
pewa shoti
moja mbili kadhaa tulewe sote
bas kuja shorty
pewa shoti
moja mbili kadhaa tulewe sote

Verse 3 (Chiwawa)
ni so sick 
na hii ni so sick
na hii ni so sick 
juu hii beat wanaskia hawakai
juu sijawahi
skia kitu kaa hii
haki walai ngoma ka hii wata-die (Chiwawa!)
mtu ka mi na-come vi-steady
nashika watu kama ma-fedi
nacheki diabas hadi nastedi
ki-thegi mi na-come tu vishenzi
beat ya Tsharzi mi nacheki
niketi niwashike ka vibeti
ma-rapper wote mi hawanileti
wanazusha na sitetemeki
twende sasa tuone nani feki
niseti hizi mtaa ka mapedi
mnashindwa mbona hanipendi
ni juu namada hadi wadhii nadhani
mitaani mi napatikana ndani
kuleta hadi bars mitaa ya kati
yani kuvutanga bhangi kila wakati
mbona unacheki nikishamwagika 
mara mi huwa naandika
zinawahatarisha
juu ya
kitu kidogo nawapa kisogo
na bado sijaenda UG na Bongo
bodo hausikii natafuta hongo
juu hii hauskii ni ile inaenda
niaje niaje!

Chorus
mi natafuta
kadame 
kaflani
kakamu
kaketi
kapewe
ni eh-eh
na nitafute
kijana
na pesa 
na nyumba
na gari 
na ye pia eh-eh-ehee
bas kuja shorty
pewa shoti
moja mbili kadhaa tulewe sote
bas kuja shorty
pewa shoti
moja mbili kadhaa tulewe sote

You cannot copy content of this page