Abbas Kubaff & Chiwawa – Baadaye Lyrics

Abbas Kubaff & Chiwawa – Baadaye Lyrics

Intro
Baas
Abbas Abbas
Chiwawa
Mandugu Digi
Hii inaitwanga
Bounce baby 
Hii inaitwanga
Bounce baby 
Abbas Abbas ana bounce baby
Mandugu digi ana bounce baby
Chiwawa ana bounce baby
Kama haujajua it’s another homebizzle produc-

Verse 1 (Abbas Kubaff)

Doobeez
Aka Abbas come on
Hii inaitwanga bounce
Si kapuka
Chiwawa na Abbas baby
Mnastuka
Msistuke ni story nakupa
Ya dame nakumbuka (Miss Ethiopia)
Kunipigia kila matime kwa Nokia
Mpaka nasikia ni kama nitanokia
Hallo hallo Abbas
Ni nani walalo (oh)
Mbona siku hizi wee natupa sana Wariah? (ah-ah)
Tembelee Eastleigh injera zitafikia (ok)
Unasikia
Nikaikiria
Sawa si mbaya pia
Lakini saa hii niko kirai jo
Pengine baadaye
Nafaa nikitokea nikuje na kerea ama nipite matime juu saa hii sina time
Na sijui ka unaeza time time
Ama tufanye next time

Chorus
Baadaye
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye 
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye

Verse 2  (Chiwawa)
Mashughli ni kibao
Naona nipitie mtaani angalau
Tafadhali uskasahau
Ilikuwa saa saba mzeya nilikuwa ubao
Nikadish fish
Upishi courtesy ya big sis Katya
Mpaka mifupa na mabackshish
Kuingia kwa choo ati ndio nikate weight
Nikapata missed call na ingine inawait
Hallo hallo
Chiwawa ni mimi walalo (sema)
Mbona siku hizi wee natupa sana Wariah (hapana tupa)
Tembelea Eastleigh injera sitapikia (sasawa)
Unasikia?
Eeeh sasawa,
Ntakupitia after two hours
After kubonga nikapitia Miss Yam
Kuseti mmoja yangu na ya pedi aliniulizia
Nikakuwa niko wazi
Masaa ya kachabari
Mzeya twende kazi

Chorus
Baadaye
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye 
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye


Verse 3  (Abbas Kubaff and Chiwawa)
(Abbas Kubaff) Baadaye nikadecide kuenda cheki walalo
(Chiwawa) Pia mi nikadecide kuenda kucheki walalo (oh)
Tukagongana kwa mlango
(Abbas Kubaff) Vipi Chiwawa
(Chiwawa) Aaah vipi Abbas!
(Abbas Kubaff) Umekam ku-do?
(Chiwawa) Na we umekam ku-do?
(Abbas Kubaff) Si nimekam ku-do chenye umekam ku-do
(Abbas Kubaff and Chiwawa) Kwa hivyo tu-do?
(Chiwawa) Tungevua njumu, tuingie nyumba, juu hii story ni ngumu
(Abbas Kubaff) Siezi vua njumu, sockz zangu ni chafu, kwanza zina shimo itakuwa aibu
(Chiwawa) Kabla hajamaliza, walalo akafungua, na hakusema karibu
(Abbas Kubaff) Na singekaribia juu, alikuwa na chali mwingine alikuwa anamkatia
(Chiwawa) Sasa skia, si ni mafala pia, twende tutafute mathee mwingine pia.

Chorus
Baadaye
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye 
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye
Nitapitia baadaye, nitapitia baadaye

You cannot copy content of this page