4christband – haraka Lyrics

Verse 1
wajipenda jamani wasahau Muumba wako
Neno lasema utavuna ulichopanda
Ukipanda ya mwili utavuna mauti
Ukipanda ya roho utavuna uzima

Bridge
mbona wajishughulisha na mabo ya dunia
wakati ni sasa mkumbuke Muumba wako

chorus
haraka haraka haina baraka
mtaka cha mvunguni sharti ainame
mwenda tezi na omo marejeo ngamani
katika safari hii kawia ufike
haraka

Verse 2
tafuteni jamani ufalme wa Mungu
muombe Mwenyezi usiku na mchana
na haya yote utazidiziwa
magari nyumba jamii furaha yote

Bridge
mbona wajishughulisha na mabo ya dunia
wakati ni sasa mkumbuke Muumba wako

Chorus
haraka haraka haina baraka
mtaka cha mvunguni sharti ainame
mwenda tezi na omo marejeo ngamani
katika safari hii kawia ufike
haraka

mwenda tezi na omo marejeo ngamani
aaaah
haraka

usisahau na haya yote ya ulimwengu yanapita
uhusiano wako na Muumba wako ufanye uwe
dhabiti

You cannot copy content of this page